Recent content by Mnyanyembe wa Mboka

  1. Mnyanyembe wa Mboka

    Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

    Sasa Bro. Unakuwaje mwanasiasa wa mwaka 2024 ikiwa hujui hip hop ni nini ilitokea wapi kwanini na inaenda wapi Achana na huko mbelembele kwa kina Senti Hamsini ivi leo hii umesahau Nay wa Mitego amefungiwa mziki mara kadhaa Roma mkatoliki yuko wapi sasa unaachaje kujua hayo na content zake...
  2. Mnyanyembe wa Mboka

    ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

    Hivi kumbe kumfariji binadamu mwenzio kunategemea wakati na cheo cha mtu [emoji15][emoji15][emoji15]!!! CCM mlipofikia hata shetani anawashangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. Mnyanyembe wa Mboka

    Unaujua Mkataba wa Mwitongo? Mkataba wa siri kuhakikisha Kizazi cha watawala hakipotei

    Mh! Kiukweli mwanzo nlikua naelewa vizuri na kushawishika kabisa na maelezo yako kuhusu uwepo wa huu mkataba wa mwitongo, ila tatizo ni hii paragraph ya mwisho kabisa hapo ulipotolea mfano wa familia ya Nyerere story nzima naona kama IMEJIKONTRADIKTI
  4. Mnyanyembe wa Mboka

    Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

    Mazombiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wakati naskia aibu kujinadi mi ni muislam kutoka Tanzania coz ni vilaza hajui lolote wapowapo tu hovyo kabisa
  5. Mnyanyembe wa Mboka

    Picha Adimu za Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    "Ni bahati mbaya sana kuwa huijui historia ya Mwalimu na yeye mwenyewe hakupenda historia yake ifahamike " Nikweli hili limeleta shida sana kwakuwa Mwl. Nyerere halupenda historian yake ifahike
  6. Mnyanyembe wa Mboka

    Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

    Hivi hii aacount huwa inadukuliwa au muhusika kuna wakati zinarudi zinakaa sawa au? Huwa simuelewi kabisaaa japo najua ni CCM
  7. Mnyanyembe wa Mboka

    Siasa: Kama hii katuni ya chatu na mbwa imechorwa na Masood Kipanya basi anapaswa kupewa tuzo ya kutuchanganya

    Mbona umeanzia katikati kumbuka hili ni bonge la movie kuendea 2025, na ndio Kwanzaa limeanza baada ya matangazo mareefu yaani mpaka sasa stelingi bado mtoto tulia usiwe na pupa Tegemea Mbwa kutafuna tumbo la Chatu ili kuweza kutoa kichwa nje ... hapo sasa ndipo utakapo jua kuwa hujui ...
  8. Mnyanyembe wa Mboka

    Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Abiria wanatakiwa kuwa na bodaboda yake Pikipiki ni ya kubeba mizigo sio abiria
  9. Mnyanyembe wa Mboka

    CHADEMA hawana heshima, Rais Samia ametua Arusha wao wamejaza bodaboda barabarani kumsubiri Lema

    Ndio yule alie tabiri kifo cha Magufuli na leo ameleta taharuki amesababisha watu wasimuone Raisi KIA Vipi ushamfahamu au nikupe namba yake umpigie ?
  10. Mnyanyembe wa Mboka

    Hatimaye Godbless Lema aanza safari ya kurejea Tanzania

    Bahati mbaya jamaa mwenyewe kama maji usipo utamnywa Sijawahi kuwakubali manabii wa Bongo na kwingineko Ila huyu namuamini sana ... KARIBU KAKA TUCHUKUE NCHI
Back
Top Bottom