Sasa Bro. Unakuwaje mwanasiasa wa mwaka 2024 ikiwa hujui hip hop ni nini ilitokea wapi kwanini na inaenda wapi
Achana na huko mbelembele kwa kina Senti Hamsini ivi leo hii umesahau Nay wa Mitego amefungiwa mziki mara kadhaa
Roma mkatoliki yuko wapi sasa unaachaje kujua hayo na content zake...
Hivi kumbe kumfariji binadamu mwenzio kunategemea wakati na cheo cha mtu [emoji15][emoji15][emoji15]!!!
CCM mlipofikia hata shetani anawashangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mh! Kiukweli mwanzo nlikua naelewa vizuri na kushawishika kabisa na maelezo yako kuhusu uwepo wa huu mkataba wa mwitongo, ila tatizo ni hii paragraph ya mwisho kabisa hapo ulipotolea mfano wa familia ya Nyerere story nzima naona kama IMEJIKONTRADIKTI
Mazombiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wakati naskia aibu kujinadi mi ni muislam kutoka Tanzania coz ni vilaza hajui lolote wapowapo tu hovyo kabisa
"Ni bahati mbaya sana kuwa huijui historia ya Mwalimu na yeye mwenyewe hakupenda historia yake ifahamike "
Nikweli hili limeleta shida sana kwakuwa Mwl. Nyerere halupenda historian yake ifahike
Mbona umeanzia katikati kumbuka hili ni bonge la movie kuendea 2025, na ndio Kwanzaa limeanza baada ya matangazo mareefu yaani mpaka sasa stelingi bado mtoto tulia usiwe na pupa
Tegemea Mbwa kutafuna tumbo la Chatu ili kuweza kutoa kichwa nje ... hapo sasa ndipo utakapo jua kuwa hujui ...
Bahati mbaya jamaa mwenyewe kama maji usipo utamnywa
Sijawahi kuwakubali manabii wa Bongo na kwingineko
Ila huyu namuamini sana ... KARIBU KAKA TUCHUKUE NCHI
Kwahiyo so far unataka kuifananisha Kenya na Tanzania
Labda kidogo kwenye Bongoflavour kwa sababu ya advantage ya lugha ya Kiswahili the rest we are very far away behind them
Hata kwa hiyo Bongoflavour ni vocals tu, still organisation nzima ya music Industry they are more better kuliko sisi
CC: BISWALO na DOTTO JAMES
Plea Bargain ... China kweli jamani?
Yule Mama eti kasema, Mh! uzushi tu
Na bado subiri 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni ndio utajua hujui maevidence yatakapo achiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.