Anachekesha huyu na mibendera yake
. Tatizo ni ni mifumo mibovu ataiindoaje inahitaji sera,
Labda nikuulize ukimfuata mfanyabiashara kumdaii Kodi akakuonyesha kimemo Cha Abdul utafanya Nini?
Au ukienda kumdai mfanyabiashara Kodi akakuonyesha risiti ya kuchangia chama hela nyingi zaidi ya ya...
Una bandari unaweza pata mapato ya kutosha kuendesha nchi ikiwa utaweka usimamizi mzuri
badala Yake unakimbilia Korea kuomba mkopo wa riba kubwa
hizi ndo akili za ma ccm
Ccm wametuletea shida ingine
Sasa ufisadi unapigwa kwa zamu kwa zamu, ukiristo vs uislam
Hivi sasa hamtakiwi kuhoji ufisadi ni zamu yetu kwa kuwa zamu yenu tulikaa kimya
Hizi dini hopless kabisa
unaishi nchi gani dogo,
Kuna watu wameuwawa Kuna watu ni vilema , Kuna watu ni wakimbizi, kwa kupinga uwekezaji unaodai ni wa wazungu,
mtu mwenye akili timamu anapinga uovu bila kuangalia umefanywa na nani? Madhara ya kuwakaribisha wazungu ni sawa na kuwakadrbisha waarabu wote wanyonyaji tu...
Sisi wengine tungekuwa watumishi wa umma tungeishafukiuzwa kazi siku nyingi, hakunaga kumyenyekea mpumbavu.
Watz wagonjwa sana Habari muhimu kama hizi huwezi ona zikijadiliwa na media house yoyote
Hata magroup ya wasap ni nadra kuona mjadala kama huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.