Mkuu hapo umenena hatari nyengine hpo huku chini kwetu wanaosoma sayansi mwaka huu lazima uwe na division two ya point 20 kama una 21 hata kama umefaulu sana sayansi ila art patakuhusu , se....kali hii haijamwacha MTU salama yani tuna pata tabu sana
Mkuu naomba unisaidie kuuliza uwezekano huo mambo kwangu magumu wazazi wanataka nikaripoti nkasome HKL kisa huku ada kubwa ila ni natumaini yangu Kama utapangiwa na serikali haulipi ada kubwa
Samahanini kwa kudandia ila jamani mwenzenu ninashinda siku ya pili Leo naangaika kutafuta msaada humu sijapata wa kujitosheleza
Tatizo langu lipo hivi nimechaguliwa kidato cha tano bagamoyo secondary mwaka huu ila kombi ya HKL na Kubadili mwaka huu TAMISEMI wamepandisha vigezo kwa masomo ya...
Habari zenu wakuu. Naombeni msaada wa ufafanuzi wa kozi hizi kwa ngazi ya cheti na diploma unatakiwa ufaulu nini na nini kwa mwanafunzi wa O-level
1.Computing and information communication technology
2.computing and information technology
3.information technology
4.information communication...
Habari wana Jf natumaini ni wazima wa afya , samahani ndugu zangu kama kuna MTU ana ufahamu vizuri na kozi hizi naomba anifafanulie vigezo vya kusoma kozi hizi kwa ngazi ya cheti au diploma
1.computing and information communication technology
2.computer sciences
3.computer engineering...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.