Unsmsingizia Madelu hana siasa za kishamba za kutukana wakubwa wake wa kazi madelu muoga muoga wakina january wanajifanya watoto wa mjini
Kina January hacheni kumtukana Raisi ni kweli tunajua uraisi unautaka afe kipa afe beki lakini wakati wako utafika
Biteko anakubalika na uvccm Nchi nzima sio kanda ya ziwa peke yake
Kwa unyenyekevu wake na kuwapenda vijana hata Nje ya Camera , hajisikii kama wengine walio wengi
Oa Mkuu, wanawake wakiacha wameacha hawaludi nyuma husiwasikilize hawa mburura ukiona mwanamke analudi kulia lia kwa baby dady ni maisha yamempiga
Kama huyo single maza ana uwezo wa kujikimu kimaisha wanakuaga jeuri hao kuludi hata kuongea na baby dady ,Uzuri wa kuoa single maza ni maturity zao...
Unapotosha kwa faida ya nani. Hizo nyumba na hao watu ni Duni waache Serikali iwape fidia itakayowasaidia sio mnawakandamiza kwa chuki, wivu na upotoshaji.
Hawakupewa viwanja watu wote huko mabwepande, naona watu wanapotosha
Waliopewa viwanja ni wale Ambao nyumba zao zilikua zinafikiwa na Maji
Huu mradi wa World Bank unaenda kuchukua eneo lote la mto Msimbazi hata kama nyumba yako ilikua haipati mafuriko kwa fidia/ posho ya aina moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.