Recent content by Mbuzingombe

  1. M

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Ayatollah ni kiongozi mkuu, kama alivyokuwa Mkuu mbona umechafukwa hivi, Hao jamaa ni wazembe sana, kuna mdau humu amesema hiyo chopa hata Nape asingekubali kuipanda,
  2. M

    Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

    Ubunge wa kuridhi kutoka kwa kwa marehemu mother wake. CCM Ina wenyewe, kuna familia Hadi vitukuu vitateuliwa kuongoza nchi,
  3. M

    Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Ukimuona alivyo na kipanki chake kichwani, waweza kudhani ni mtu wa maana, Kumbe bure kabisa,
  4. M

    KILICHOWAKUTA WAZAMBIA TUSIPOANGALIA KINAWEZA KUTUKUTA NA WATANZANIA

    Mengo kavu ni chakula gani mkuu,
  5. M

    Mkwamo wa Magari eneo la Ruvu kwa saa nyingi sababu ni gari la Jeshi la Wananchi?

    Ni hatari kubwa, walitakiwa wajiongeze wenyewe, jeshi haliwezi kuchukua kipaza sauti na kutangaza mzigo waliobeba,
  6. M

    Mkwamo wa Magari eneo la Ruvu kwa saa nyingi sababu ni gari la Jeshi la Wananchi?

    Poleni sana kwa changamoto, wamezuia pengine Hilo lorry limebeba mzigo hatari wa kijeshi, kama milipuko hivyo kuhatarisha usalama wa Hilo eneo,
  7. M

    Tundu Lissu asisahau 1964 Zanzibar ilikuwa na Kiti chake UN sawa na Tanganyika

    Tanganyika ilipoteza kiti UN, pia imepoteza jina sasa wanaiita Tanzania Bara, Wengine wanakwambia Tanganyika imevaa koti la muungano eti ndio Tanzania,
  8. M

    Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda

    Mpira wa sasa unatakiwa mwekezaji asiye bahili na janjajanja, Pia kupata viongozi vijana wanaojua mpira wa kileo, sio viongozi vizee kina Mangungu,
  9. M

    NetBlocks: Changamoto ya Internet imezitesa Nchi zote za Africa Mashariki na Jirani zao ila Tanzania imeathiriwa zaidi

    Bila internet ya mabeberu, hamna cha Lumumba Wala Ufipa, Hata luku hatutanunua, Atatokea mlevi mmoja na shati lake la kijani, anaimba sisi ni nchi huru hatutishwi na mabeberu,
  10. M

    Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda

    Benchika hakuwa na baya, bali timu imejaa uswahili na upumbavu uliotukuka, Mo janjajanja nyingi sana,
  11. M

    Mr Sugu, CCM ni nyumbani kwako kwa sasa, karibu sana

    Kwa hiyo Tulia hatoshi kujenga hiyo Mbeya yenu Hadi aje Sugu? Siasa za kilaghai zimepitwa na wakati, jibuni hoja za Lissu, Mtasubiri sana kuna CDM ikigawanyika,
Back
Top Bottom