Recent content by Mbilimbi Mbovu

  1. Mbilimbi Mbovu

    Kwanini nyimbo za Alikiba hazina lyrics?

    Sio lazima Musixmatch mzeeh, cheki hiyo hapo: http://mistariyetu.com/wasanii/ali-kiba/
  2. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Usiompenda kaja
  3. Mbilimbi Mbovu

    Tafakuri ya maisha: Ungefanya nini ikiwa umetambua bado miezi sita kuishi?

    Nitakula bata kadiri niwezavyo, na siku ijapofika inikute nikiwa batani, privately, nyumbani, na watu wangu ninaowapenda, na kila aina ya shangwe... #Masambewena
  4. Mbilimbi Mbovu

    Korea Kusini, Kaskazini wapiga Selfie, Lebanon wakataa kupanda basi moja na Israel

    Michezo fulani imekaa kitamaduni zaidi na inawabeba kweli akina fulani. Wala sio ishu sana kukosa medali, muhimu ni kutengeza 'industry' imara hapa nyumbani
  5. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Mimi najipendekeza. Sasa kwa mwanamke mwenzangu nitafute nini...
  6. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Kumbe Serikali huwa inajihusisha na upumbavu? Mbona wale Wabunge wenu machachari walichangia positively, nakushangaa wewe kibaraka.
  7. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Niko kwenye kompyuta mkuu, Dell Precision T5500 Workstation... Haina dalili za ufeki!
  8. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Binti yako angekuwa Miss Tanzania ungejisikiaje?
  9. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Kuna tatizo basi mkuu kama unaona aibu. Kwa hiyo umeziba macho kwa haya hapo au unavunja vidole?
  10. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Madame ni Mtanzania, so do hao boys and girlz ambao ndo watatuhudumia tukishazeeka... Hujafa hujaumbika, acha kudharau watoto wa watu!
  11. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Hakuna mahali nilikotaja ukahaba mimi, kwa kuwa najua ni brand tu hiyo... Watu tushazushiwa mengi mitaana hadi level za familia. Kama una la kupinga pinga hoja za post ya kwanza; mfano niambie kuwa Wema hajawahi kushinda Taji la Miss Tanzania, hamiliki moja ya kampuni chache za filamu na...
  12. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Aisee ningekuwa mwanaume ningemweka ndani huyu bibie. Anafaa kuwa mke ndio, tena mwema, fighter na anayejua kucheza na akili za watu... Mengine ni maneno ya magazeti ambayo hata kama yangekuandama wewe ungeonekana kituko.
  13. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Kwa mujibu wako. Mimi nawajua viongozi wa makahaba ambao ni wakuu wa mashirika ya Umma na wanasiasa wakubwa, bila kusahau mashoga. Madam Wema Sepetu ni mwanamke jasiri, malkia wa nguvu... Kila sekta ana mafanikio, hadi siasa ambayo amethubutu kugombea Ubunge wakati akina nyie mkibwabwaja...
  14. Mbilimbi Mbovu

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Diamond sio mtu wa kumsikiliza sana, alishasema anarekodi wimbo na Ne-Yo...
Back
Top Bottom