Recent content by Mayweather78

  1. Mayweather78

    Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Mwambie Mwamvuli wako haukunjuki ila umeenda Kwa doctor amekupa tiba unataka kujaribu kwake kama umepona Mbona EASY tu anakutunuku Kijana acha woga 😂😂😂😂😂
  2. Mayweather78

    Choo kigumu (kama jiwe)

    Kwenye ushauri uliopatiwa kuhusu aina za milo uliyoambiwa, kunywa maji mengi na mengineyo NYONGEZA: Kulingana na kazi yako ni ya kukaa kwa muda mrefu ongezea kufanya MAZOEZI kila siku at least 30 minutes
  3. Mayweather78

    Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Watanganyika wanaumizwa na Mboko za wamasai, kuambiwa Zanzibar twende na Passport na mboko kwa wanaokula mchana wakati wa Ramadhani
  4. Mayweather78

    Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    Mtaa una vipaji vingi kuliko tulivyojaaliwa kuviona kwenye official platforms
  5. Mayweather78

    Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

    "Usimchunguze kama huwezi kuhimili kumuacha"
  6. Mayweather78

    Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    "Enyi wanaume wapendeni wake zenu na wanawake watiini waume zenu" Jukumu la kupenda sio lao wanawake Kitendo cha kuwepo home na kutekeleza matakwa ya waume zao (Kuwatii) wamemaliza jukumu la msingi. Kwahyo usiwabebeshe jukumu lisilo lao
  7. Mayweather78

    Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    Maneno yanaumba Brother
  8. Mayweather78

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Chelea man - Nipende kama nilivyo
  9. Mayweather78

    Dunia iliishia 1999

    Bro! Kwani drones za IRAN zilikukuta uko wapi? Seriously, you need ONE SLAP
  10. Mayweather78

    TAMISEMI wapo kimya suala la ajira za Ualimu na Afya

    Hadi mwaka mpya wa kiserikali
  11. Mayweather78

    Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Hata msibani panapikwa haiwezekani mambo mengine yasiendelee kisa msiba.
  12. Mayweather78

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Niliwahi kusikia mahala kuwa IPhone ni kama Savanna tu yaani anayenunua haitumii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  13. Mayweather78

    Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

    Watu weusi tutafika mbinguni tukiwa tumechoka mno Tumesota kwa wazee wetu maisha magumu tunakula kinachopatikana tukajiapiza tukijitegemea tutakula mapochopocho mara tunakutana na makatazo ya Dkt Janabi, tukiingia msikitini au kanisani makatazo ya sheikh au padri, tumeachana na vyoo vya kulenga...
  14. Mayweather78

    Kati ya ndugu wa damu au asiye wa damu yupi wa kushirikiana nae ktk ujasiriamali

    Haijalishi utaajiri ndugu au mtu baki unachotakiwa kwanza andaa system nzuri ya utendaji kazi kama vile ripoti ya mauzo, mapato na matumizi n.k ili yeyote atakayekuja kufanya biashara afuate tofauti na hapo utalalamika kuibiwa kila siku.
Back
Top Bottom