Recent content by MaxMase

  1. M

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Ushauri mzuri sana utt pesa yako haipotei na kila siku wanakuwekea faida yako Wana mobile app yao. Muda wowote unatoa siku 3 tu unachukuwa mzigo wako wote. Ni sehemu sahihi kuliko bank especially mfuko wa liquid
  2. M

    Mapenzi si pesa

    Jifunze pia kiswahili ni uhakika na siyo uwakika
  3. M

    House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Tengeneza group la whatsapp au telegram watu wengi wako humo. Jamii Forums ni nzuri pia ila siyo wengi wanasoma vitu vya huku. Tengeneza then uweke link mtu akitaka ajiunge
  4. M

    Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

    Wa nchi gani huyu??
  5. M

    Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Walishiriki ile kombe ya mnajeria wao wanasema la caf ukiwa uliza ni lipi hawatoi majibu ya kueleweka
  6. M

    Jinsi ya kununua hisa NMB au CRDB

    Weka pesa yako UTT huko kwenye hisa za mabenki inaweza potea
  7. M

    Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Acha aje atwambie sababu maji yanapatikana kwa kusomba na punda kilometers kibao
  8. M

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Hii nchi wajinga ni wengi sana, mtu akiamka analinganisha miji mara hotel, hivyo vitu vinakusaidia kwenye maisha yako?? Kwa mfano watu wote wakikubali dodoma ni kubwa kuliko then what? Hiyo itakusaidia nini kwenye maisha yako?? Kuwa unaleta kwenye jukwaa vitu vyenye subsistence na siyo huu uhalo.
  9. M

    Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

    Acha waliwe na wachina wavimba macho
  10. M

    Vita ya Clatous Chota Chama Vs Pablo mmoja kuondoka SIMBA

    Chama mpira ulisha Isha. Match zote siku hizi anapuyanga tu. Jiandaeni na Azam, kagera, Geita, mtibwa, mbeya city wako mbele yenu
Back
Top Bottom