Recent content by Maxence Melo

  1. Maxence Melo

    Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

    Anatakiwa kupata FAIDA? 😳
  2. Maxence Melo

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Mlenge tuliletewa taarifa na familia juu ya kifo chake. Naye alikuwa verified member. Ni bahati mbaya tulijua ikiwa late. Sababu/Chanzo cha kifo hatuwezi kuweka (kumradhi).
  3. Maxence Melo

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Wakuu, Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa JamiiForums, Sanctus Mtsimbe, mchana wa tarehe 13 Machi 2024. Sanctus alikuwa Rais wa kwanza wa Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN), hadi anafariki alikuwa ni Country Manager wa Wananchi Group...
  4. Maxence Melo

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    It's coming, next week. Asante mkuu wangu
  5. Maxence Melo

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Hii App au Android App? Kama ni hii, iondoe na iweke tena utaona kila kitu kiko sorted na hata some minor changes
  6. Maxence Melo

    Nahitaji nini ili niwe mwandishi wa habari za uchunguzi?

    Ndugu Mnyunguli, wasiliana nami nitapendekeza wapi uende ujengewe uwezo na ndani ya siku 120 utakuwa vema. Asante
  7. Maxence Melo

    Chat message

    😇
  8. Maxence Melo

    Chat message

    Upo via mobile?
  9. Maxence Melo

    Chat message

    driving to the office now
  10. Maxence Melo

    Chat message

    Still fixing stuffs
  11. Maxence Melo

    Chat message

    Team, this is a test drive. Works for all?
  12. Maxence Melo

    Chat message

    Hello JF :)
  13. Maxence Melo

    DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

    Ujumbe umemfikia Waziri wa Elimu (Prof. Mkenda). Wizara itatoa kauli
Back
Top Bottom