[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]its funny hii post imefanya nione huyu mume nilienae sio hubby material kabisa duh,kumbe kuna wanaume TZ hii wana sifa zote hizo aloo
Hili nalo neno kuntu,imagine mtoto anarubuniwa kwa vichips kuku karne hii
Maisha duni yanafanya watoto wakiyumbishwa kidogo wanajaa wakidhani kuna afadhali
Yani inashangaza mimi miaka 12 hata kucheka na mwanaume naogopa lol
Bikra zimetolewa 23 huko jamani hawa watoto wa sasa wanakula nini mbona tunaogopa sasa hata kuzaa,watoto wanapenda mb*o kuliko kula khaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.