Recent content by mamanzara

  1. M

    Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

    umenena mkuu.
  2. M

    Azam Tv vifurushi vyenu havieleweki

    kifurushi cha clouds plus kiilipoanza kilikuwa ni kama kinaoneshwa kama channel za nyumbani nyingine (nilivyoelewa mimi) ghafla msimu wa fiesta ulipoanza kikaanza kulipiwa kipekee - sh.3,000 ndio ukipate. Najaribu kuwaza mwenyewe, ndivyo kitakavyokuwa siku zote au msimu wa fiesta ukiisha...
  3. M

    HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yashusha riba kwa Benki kutoka 12% hadi 9%

    Tatizo nikichukulia waajiriwa, hakuna mtu anaweza kukukopesha lets say 10m kwa mapatano ya kumlipa kidogo kidogo kwa miaka mfano mitano kwa dhamana ya mshahara. Hapo ndipo wengi wetu tunajikuta tunaingia kwenye mitego ya benki ili walau tuweze kujikwamua kwa kujenga au kuanzisha biashara, etc...
  4. M

    Mgeni.

    KARIBU
  5. M

    TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na Mkewe Linah Mwakyembe

    kila nafsi itaonja mauti. mbele yake nyuma yetu. apumzike kwa amani.
  6. M

    Waziri Mkuu: Mitumba kuwa historia Tanzania

    kwa maoni yangu watuachie tu mitumba yetu. hizo nguo za viwandani nina hakika hazitakuwa na ubora na bei nafuu kama mitumba.
  7. M

    Waziri Mwakyembe: Serikali hairidhishwi na kampuni ya ubia kati ya TBC na Star Times

    Nakuunga mkono Mkuu. Hasa hapo kwenye local channels, tuliaminishwa kabla kwamba hizo zitakuwa bure lakini imekuwa kinyume.
  8. M

    William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

    kuna issues nyingine kwangu channel huwa hazikamati kabisa. naona chenga chenga tu.
  9. M

    Kero za mtandao wa Tigo

    kiukweli wanashangaza. wiki iliyopita nikiwa nimeshajiunga kifurushi cha chuo wakanitumia sms kwamba nimepokea sekunde 200 za kupiga mtandao wowote kwa saa 24 na kwamba nitalipa sh350 nitapoongeza salio. leo nimeongeza salio wamenikata 350/= !!!!!! ukipiga 100 inaita hadi unachoka.
Back
Top Bottom