Recent content by Makanyaga

  1. Makanyaga

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    KABLA YA SIKU YA PENTEKOSTE, WATU WENGINE WALIOKUWA WAKIJAZWA RM WALIKUWA NI MANABII, MIAKUHANI, WAFALME PAMOJA NA WATU MAALUM TU KUOISHANA WALIOKUWA WANAPEWA "SPECIAL ASSIGNMENT" NA MUNGU: KAMA VILE SAMSON MNADHIRI WA MUNGU KWA HIYO NABII TITO NAYE PIA ALIKUWA ANAFANYA KAZI KWA KUTUMIA...
  2. Makanyaga

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    SEMINA YA ROHO MTAKATIFU (RM) KANISA A MWAKA 2012 UHUSIANO WA SEMINA HIYO NA MATUKIO LUKUKI YA AJABU AJABU YASIYOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU NA AMBAYO KARIBIA MARA ZOTE YAMEKUWA YAKIHUSISHA WANAFUNZI ROHO MTAKATIFU ALIWASHUKIA WANAFUNZI WA YESU SIKU YA PENTEKOSTE KWA HIYO MATUKIO HAYA YA...
  3. Makanyaga

    DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

    Hii stori inawea kuwa ni ya kutunga, si halisi Vinginevyo kana ni ya kweli, utakuwa unafanya makosa makubwa sana Watu wa aina hii wapo wengi tu Marekani na si lazima wawe wametoka Tanzania. Wewe uanchotakiwa kufanya ni kupata details za familia yao huku Tanzania, ili Ubalozi watakapoingia...
  4. Makanyaga

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    UPDATE: TUESDAY, 21st MAY 2024 OMBI LA MHUSIKA KUHUSIANA NA MATUTA MAPYA YENYE MGONGO MKALI MNO, YALIYOWEKWA BARABARANI KWENYE NJIA AMBAYO HUWA ANAPITA ANAPOKUWA ANAENDA AU ANARUDI KUTOKA KAZINI Mhusika anaomba kama kuna uwezekano, matuta hayo yaongezwe mgongo ili yafanane na matuta mengine...
  5. Makanyaga

    Meli ya MV. Clarias yazama ikiwa Bandarini

    An external agent lazima itakuwa imefanya kazi Kutoka kwenye NEWTONS FIRS LAW OF MOTION (Law of Inertia) INERTIA is the state of REST or of uniform motion in a straight lline, of a body Sasa NEWTON alishasema hivi: Every body (object) continues in its state of REST or of uniform MOTION in a...
  6. Makanyaga

    Wanaume wengi humu hawana pesa wala michongo ya kueleweka

    Haraka sana rudisha zile million 100 nilizowahi kukukopesha vinginevyo nitaanika kila kitu humu jukwaani
  7. Makanyaga

    Meli ya MV. Clarias yazama ikiwa Bandarini

    KAMA imezama BILA kubinuka, HIYO NI AJALI YA KAWAIDA. Vinginevyo KAMA imebinuka, LAZIMA KUNA external force iliyoTUMIKA kuibinua
  8. Makanyaga

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    China ilitakiwa kuwa Bara na siyo nchi
  9. Makanyaga

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Teknoloji aliyonayo China inayoweza kumpa challenge USA, ni "Human Resources" Angalia hapa Population of China in 2024 The population of China stood at 1.43 billion in January 2024. Data shows that China's population decreased by 356 thousand (-0.02 percent) between early 2023 and the start of...
  10. Makanyaga

    Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Alipora? Nilimpa mimi
  11. Makanyaga

    Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Asingeweza; hakuwa na mamlaka hayo. Teknik ya hayati JPM ya kuufuta upinzani ilikuwa ni utendaji kazi uliotukuka, uliokuwa unapelekea wapinzani wahame wenyewe kutoka upinzani kurudi CCM
  12. Makanyaga

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    UPDATE: THURSDAY, 16th MAY 2024 KILE AMBACHO HATIMAYE MHUSIKA AMEKIONA KWENYE UTAFITI WAKE AMBAO AMEKUWA AKIUFANYA KUHUSIANA NA STAFF AMBAYE HUWA MARA KWA MARA ANAHAMA OFISINI KWAKE NA KUJA KUKAA KWENYE MEZA YA OM-1 Kwa muda huu, staff huyu amehamia tena kwenye meza ya OM-1, wanakaa wote huku...
  13. Makanyaga

    Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

    No go zone South Africa documentary https://www.youtube.com/watch?v=SA3ytkfCztM&pp=ygUXbm8gZ28gem9uZSBzb3V0aCBhZnJpY2E%3D
  14. Makanyaga

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    B: KUHUSIANA NA UTAFITI WA “TRIGGERS” WA AWALI ULIOTANGULIA HUU WA SASA TRIGGER ILIYOKUWA IKISABABISHWA NA MTALO WA MUDA ULIOWAHI KUCHIMBWA HIVI KARIBUNI KWENYE JENGO ANALOISHI MHUSIKA NA AMBAO UMEENDELEA KUBAKI HATA BAADA YA KUWA UMEFUKIWA Takribani mwaka mmoja uliopita, kuna mtalo uliwahi...
  15. Makanyaga

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    UPDATE: MONDAY, 13th MAY 2024 UTAFITI KUHUSIANA NA TRIGGRES OF QUAKES, AMBAO MHUSIKA ALISHAWAHI KUUFANYA, NA AMBAO HIVI KARIBUNI ALIANZA KUUFANYA TENA KWA MARA NYINGINE, BAADA YA KUKUTA GARI LAKE LIMETOLEWA UPEPO KWENYE MOJAWAPO YA MATAIRI, JIONI YA ALHAMIS YA TAREHE 04/04/2024 ALIPOKUWA...
Back
Top Bottom