Recent content by major mkandala

  1. M

    Nilioa mtoto wa waziri mkuu kutokana na mpira

    Aliekuwa mchezaji wa simba Abadallah kibaden king ameweka wazi kwenye moja ya gazeti la toleo la leo la mchezo kwamba alipata mke kutkana na mpira,... akiongea na mwandishi wa habari kibaden anasema walifanikiwa kuifunga timu ya YANGA magoli 6-0 kipindi akiwa simba baada ya mechi alikutana na...
  2. M

    Lowassa agawa tisheti kanisani

    waheshimiwa kuna mtu ameweka thread yake kulalamika lowassa amegawa tshirt kanisan na waluther na wakatoliki kukimbilia kuonyesha njaa zaoa am kufanganyika kwao Bw UVIVU MWIKO ulitaka agawe CONDOM kanisani??? yawezekana aliombwa kama mgeni rasmi afanye kazi ya kugawa usimuhukumu maana...
  3. M

    Lowassa agawa tisheti kanisani

    uliitaka agawe condom za kichina uje kuuliza alipitishaje bandarini ama???
  4. M

    Mwanamke Afungwa Jela ya Wanaume Kwa Miezi Sita

    Huyu atakuwa alikuwa ana kamchezo mchafu kwa wenzake wakaamua kumpa real pic wamwangalie atafanyaje
  5. M

    Sumry aendelea kuongeza gari baada ya vifo vya mohamed trans

    Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa Vitano vilivyokufa vinatoa...
  6. M

    Mwanamke anayewatesa majirani kwa Kelele za Ngono atiwa Mbaroni tena

    zingine zinakuw za malaika best mtake radhi mungu kama hizo hizo
  7. M

    Kitchen party ya wiki hii!!!

    sie tuna ""Beckham ""mama ndoa kama kawa kanisani kwetu!!!
  8. M

    What to do...

    No comm uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii apawomi!!!!!!!
  9. M

    Kitchen party ya wiki hii!!!

    Kuna wanawake wengine bwana wameolewa lakini mambo yao tofauti utasema wenzangu na mie tunaotafuta kupiga mizinga;utakuta mwanamke kaolewa ana mume mlokole ama ametulia lakini kutwaa akirudi kazini kavua nguo kakimbilia kwe nye bar kupiga umbea na wanwake wengine tena sio wanandoa..acha nasema...
  10. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    tuombe radhi nchi ya watanzania na si ya mtu binafsi...lowassa anastahili kuwa raisi wetu sijaona kitakachompinga kuelekea urais 2015.....vipingamizi vidogo vidgo hivyo havisumbuui sana...
  11. M

    Mwanamke anayewatesa majirani kwa Kelele za Ngono atiwa Mbaroni tena

    Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Atiwa Mbaroni Tena Tuesday, March 23, 2010 1:52 AM Mwanamke wa nchini Uingereza ambaye alishawahi kufikishwa mahakamani kutokana na makelele yake ya kimahaba anayoyatoa wakati akifanya mapenzi na mumewe ametiwa tena mbaroni kwa mara nyingine...
  12. M

    Mwanamke Afungwa Jela ya Wanaume Kwa Miezi Sita

    Mwanamke Afungwa Jela ya Wanaume Kwa Miezi Sita Tuesday, March 23, 2010 3:15 AM Skendo limeikumba kitengo cha kurekebisha tabia cha Afrika Kusini ambapo mwanamke aliyakamatwa kwa makosa ya ujambazi anadaiwa kufungwa kwenye jela ya wanaume kwa kipindi cha miezi sita na kupelekea mwanamke huyo...
  13. M

    Aibiwa Mumewe, Aenda Mahakamani, Alipwa Fidia Dola Milioni 9;sheria aipo tanzania??

    Bi. Cynthia Shackelford akiwa na mbwa wakeTuesday, March 23, 2010 2:53 AM Mwanamke wa nchini Marekani aliyemfikisha mahakamani mwanamke aliyempora mumewe, ameshinda kesi aliyomfungulia mwanamke huyo kwa kumuibia mumewe na atalipwa fidia ya dola milioni 9.Cynthia Shackelford mwenye umri wa miaka...
Back
Top Bottom