Recent content by mahatmaxlla

  1. mahatmaxlla

    Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

    Mama ako akisikia hili atakuwa heartbroken sana atajua anakijana wa ovyo sana
  2. mahatmaxlla

    Kama hupendi kelele usioe

    Kelele mmeumbiwa swali ni je?tutaishi bila kuoa tutaishi bila familia? Kipindi Mungu anamuumba adam kulikuwa na utulivu sana... Na ndomana wanaume na kelele ni vitu viwili tofauti.
  3. mahatmaxlla

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    PSG SIO TEAM HII. LAANA INAWATAFUNA.
  4. mahatmaxlla

    Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Kuhusu kudukua sms. Ingia kwenye simu ya mtu husika unaetaka kumdukua then badili message system iwe ya google sms kupitia playstore Baada ya kubadili...Kisha bonyeza alama iliyopo sehemu ya juu upande wa kulia sehemu ambayo utaona logo ya email Baada ya kuingia kwenye hiyo logo ingia sehemu...
  5. mahatmaxlla

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii unyama sana kaka sema ukiwa na YACINE TV LAZIMA UWE NA YTV PRO PIA,,,sinafanya kazi kwa pamoja
  6. mahatmaxlla

    Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

    Kila mtu anachumba chake. Kawaida kama ungekuwa bachelor ungechukulia poa tu,ila kama unafamilia aah mkuu haijakaa sawa hii
  7. mahatmaxlla

    Ni moment gani? ambayo mpenzi wako alikufanyia na umeshindwa kuisahau

    Mchana ananipa vizuri then usiku anakuja kuniwangia mpaka leo ameniachia alama za mikwaluzo mgongoni na hii ndo kumbukmbu inayoishi kichwan mpk leo.daah its so sad msichana mdogo kaingia kwenye mambo ya kifilauni. nilimuona we jua hivo nilimuona na tangu siku nimemuona akiwa kwenye kazi zake...
  8. mahatmaxlla

    Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    Nasikiaga hawa wa uchocholoni ndo wanautulivo likifika suala la ndoa maana wanakuwa washapitia magumu na dunia wanaijua vyema
  9. mahatmaxlla

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Ewaa lamomy.... Kuweni na huruma basi kama ni funzo nishalipata itisheni kikao cha ghafla mwambieni inatosha nimenyooka mimi na wenzangu kama mm hatutopalamia tena
  10. mahatmaxlla

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    ndomana sitaki kuendelea kaa nae. Pilipili ndo zitamfukuza mkuu?au zitampa kichaa? Mimba atabeba vipi ikiwa sina mpango nae?iko hvi bado sijanasa kwenye mtego wake wa mimba.
  11. mahatmaxlla

    Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

    Bila shaka huwezi jiskia vizuri.je?nini cha kufanya maana hili ndo lengo la mada yako. fanya hivi Eleza hisia zako kwa huyo mpangaji anzisha mazungumzo kwa kueleza kwa utulivu jinsi unavyohisi kuhusu hali hiyo. Tumia kauli za kiume ili kuepuka kutoa shutuma. eleza athari ambazo analeta kwa...
  12. mahatmaxlla

    Hakuna anayeweza kuvumilia umaskini wako maisha yote ni vile tu hana pakwenda

    umejitahidi kuandika facts na content yenye maana...lakini iko hivi mkuu wanaoleta changamoto kwenye ndoa ama mahusiano ni wanawake kwa asilimia kubwa Mwanamke uwe unamiliki pesa atakusumbua uwe huna pesa atakusumbua.kwa kifupi hawaeleweki ukipata ambacho huna wanatafuta kasoro ingine. Ndoa...
Back
Top Bottom