Recent content by Magoya2000

  1. M

    Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

    undefined Muungano.! Haieleweki mpk watu tunazeeka na kufa aileweki maana yake. Karne hii ya uwazi! Tunaona mwisho wake
  2. M

    Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

    Kunywa soda kwa Mangi nakuja kulipa. Ukweli dunia ina mchanganyiko wa vitu vyote. Sio wote binadamu.
  3. M

    Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

    Nakumbuka miaka ya nyuma binti akiwekwa mimba anafukuzwa nyumbani. Anaambiwa nenda kaishi kwa huyo aliyekupa mimba. Tena wababa ndiyo walikuwa wakali hivyo binti lazima aende kwa mwanaume aliyempatia mimba wataishi pamoja then mwanaume atafanya utaratibu wa kujitambulisha. Kwa sasa mabinti wengi...
  4. M

    Hii ndio maana ya ndugu lawama

    Ndugu atabaki kuwa ndugu tu haijalishi amekutenda vipi. Mwangalie Joseph jinsi alivyofanyiwa fitina na ndugu zake kwenye biblia lakini hakulipa ubaya. Ukiona mtu anakufanyia ubaya wewe samehe maana kuna kitu kikubwa unacho ndiyo maana anakuchukia. Maisha ni mafupi tuishi kwa kuchukuliana na...
  5. M

    Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

    Maisha ya kijijini mwanaume na Mwanamke na watoto wanaenda shambani kulima kwa pamoja ili kuweza kupata chakula cha familia. kwa nini Mwanamke asikae ndani tu kungoja aletewe? Wanaume tuamke huu ni unyonyaji wazi wazi.
  6. M

    Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Kwa kufa bila mke au mume ni dhambi? Wateule wa ndoa ni wachache mkuu.
  7. M

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Mpk kufikia December chama kinakuwa kikubwa! Inabidi tufanye events amazing
  8. M

    Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

    Maisha ya ndoa unaishi bila uhuru! Ndoa na gereza fulani hivi kwa ME. Unashindwa kuishi kwa kuenjoy. Isitoshe mwishoni muhuni mwenzako analia timing hata uzeeni anakubwaga huku umepoteza resources zako zote.
  9. M

    Wanaume, achani kutembea na liabilities

    Shida wana njaa sana! Mama anawanyoosha! Maana wamekuwa Matapeli na Wadangaji
  10. M

    Hivi wadada wa mjini mnawezaje

    Waswahili wanasema ukimchunguza Bata kamwe uwezi kumla. Mtu anaangalia tu huduma yake basi. Hakuna mapenzi ndiyo maana mtu hataki kuchunguza.
  11. M

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Tatizo watz wengi wanaangalia hapa... Hawaangalii tunawaweka vizazi vyetu sehemu gani. Uchawa umezidi mpk wamekuwa wapumbavu wa kufikiria hatma ya mbele.
  12. M

    Damu ya kisasi inanitesa

    Nenda Biblia history ya Yusuph(Joseph) na nduguze mpk mwisho kuna kitu utajifunza. Ndugu atabaki kuwa ndugu tu huwezi kutenganishwa naye. Nafsi ya Yusuph ililia sana kwa uchungu. Kama unaweza kulia lia sana ondoa uchungu kisha wakumbatie nduguze. Mungu amekuinua ili wao wajifunze kwako. Maisha...
  13. M

    Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Mkuu ni ukweli sana kuomba kuna majibu chanya. Pia ukiomba rohoni unaweza kuomba muda mrefu sana maana unakuwa rohoni.
  14. M

    Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

    Maisha ya sasa kuolewa au kuoa ni ufala. Wajinga ndo wanaona dili.
  15. M

    Wanawake mnaodai usawa 50/50 mtazeeka na mtakufa na kujichokea sana

    Umenikumbusha mbali. Nilikuwa na girlfriend mmoja feminist mno. Kubembeleza sana nimuoe,,, nikafikiria nikaona huyu atanisumbua kwenye ndoa. Nikapiga chini. Mpk sasa hajaolewa watu wanakula na kusepa.
Back
Top Bottom