Bar ndio pametulia mnanunua vinywaji vyenu mnaendelea na kikao, nyumbani ni kukodisha maviti,Kuna wanaokunywa pombe Kuna watoto,wapangaji,wageni wa kushtukiza usumbufu ni mwingi na mtashindwa kuendesha kikao kwa utulivu
Vizinga vya jero jero Kila siku za kahawa na buku za kucheki mpira usipompa vituko haviishi!
Nikajisogeza kwangu japo nilikua sijamalizia ujenzi nikaweka maboksi dirishani nikatulia zangu nikimalizia mdo mdo
Mi na enjoy muda wangu na wakati wangu huku duniani haijalishi nakula au navaa Nini!
Sina time na kujilinganisha na mtu hii inanifanya nisiwe mtu wa kuwazawaza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.