Recent content by Lucas Mwashambwa

  1. L

    Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

    CHADEMA kwa sasa ni kama wamesha changanyikiwa na hawaelewi wafanye nini. Maana kila mtu anajifanyia mambo yake kwa mwamvuli wa chama vile anavyojisikia Mwenyewe.
  2. L

    Mwigulu unampigia nani kelele bungeni!🤔

    Ni jembe kwelikweli.Mheshimiwa Rais hakukosea kumpatia Uwaziri wa Fedha.
  3. L

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Kwa hiyo kuna wanachadema ambao mpaka sasa hivi hawafahamu kama kuna mchango unaoendelea kwa ajili ya kumchangia Lissu kununua gari mpyaaaa? Hao wanaofahamu kama Lissu anahitaji msaaada wa michango hawawezi kufika hata laki moja ndani na nje ya nchi? Kama laki moja wanafika inashindikana nini...
  4. L

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Unasemaje? Huoni mpaka sasa yamechangiwa mamillioni kwa mamillioni? Hujaona pesa zinachangwa hadi millioni mia moja kwa mkupuo? Unafahamu walimu peke yao walichangia kiasi gani?
  5. L

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Unaposema wanaharakati walioguswa na madhila yaliyomkuta Lissu .je unamaanisha ninyi CHADEMA hamjaguswa kuweza kumchangia ili apate gari mpya kabisa?
  6. L

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    CCM Ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania. Kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya wewe kuyatumia kujikwamua kiuchumi.
  7. L

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Acheni kupaniki.kikubwa kinachohitajika hapa ni majibu ya hoja. Vipi CHADEMA ina wanachama hai wangapi?
  8. L

    Dkt. Kigwangala: Ukiwa juu epuka sana Jeuri, Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka

    Mheshimiwa kigwangala aliumiza wengi kwa vidole vyake vya Uwaziri. Kwa hiyo akae kimya tu aache watu wafanye kazi huku yeye akiendelea kuomba hekima za Mungu na kuomba msamaha kwa watu aliowakosea .
  9. L

    Dkt. Kigwangala: Ukiwa juu epuka sana Jeuri, Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka

    Huo ushauri unamfaa yeye mwenyewe.maana amewahi wadhalilisha watu wazima wakapiga magoti. Wengine akaenda kuwafungia mageti eti wamechelewa kazini. Akakosa maelewano na akawa anamshambulia katibu mkuu wake wa wizara. Kwa hiyo Mheshimiwa kingwangala angetulia tu na kuomba hekima za Mungu wakati...
Back
Top Bottom