CHADEMA kwa sasa ni kama wamesha changanyikiwa na hawaelewi wafanye nini. Maana kila mtu anajifanyia mambo yake kwa mwamvuli wa chama vile anavyojisikia Mwenyewe.
Kwa hiyo kuna wanachadema ambao mpaka sasa hivi hawafahamu kama kuna mchango unaoendelea kwa ajili ya kumchangia Lissu kununua gari mpyaaaa? Hao wanaofahamu kama Lissu anahitaji msaaada wa michango hawawezi kufika hata laki moja ndani na nje ya nchi? Kama laki moja wanafika inashindikana nini...
Unasemaje? Huoni mpaka sasa yamechangiwa mamillioni kwa mamillioni? Hujaona pesa zinachangwa hadi millioni mia moja kwa mkupuo? Unafahamu walimu peke yao walichangia kiasi gani?
Mheshimiwa kigwangala aliumiza wengi kwa vidole vyake vya Uwaziri. Kwa hiyo akae kimya tu aache watu wafanye kazi huku yeye akiendelea kuomba hekima za Mungu na kuomba msamaha kwa watu aliowakosea .
Huo ushauri unamfaa yeye mwenyewe.maana amewahi wadhalilisha watu wazima wakapiga magoti. Wengine akaenda kuwafungia mageti eti wamechelewa kazini. Akakosa maelewano na akawa anamshambulia katibu mkuu wake wa wizara. Kwa hiyo Mheshimiwa kingwangala angetulia tu na kuomba hekima za Mungu wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.