Recent content by Lello199

  1. Lello199

    Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

    Hata 80 nae ni kijana. KIKUBWA PESA IWEPO
  2. Lello199

    Happy Birthday Mahondaw

    Mambo yenu nawaachia....(HBD Mahondaw )
  3. Lello199

    Nafikiri hizi nyimbo 20 za Bongo Flava ndizo bora kwa muda wote

    Zali la mentali. Prof Jay
  4. Lello199

    Filamu hizi tazama na mpenzi wako, usitazame na watoto

    Kichwa Kichafu huu uzi umeuona?
  5. Lello199

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Kweli kabisa mkuu. Mteja anakuwa hakatei pesa nyingi hata wakala nae kale kakamisheni kanaongezeka halafu hakuna masuala ya kusubiri mwisho wa mwezi ni papo kwa papo unachukukua chako mapema.
  6. Lello199

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    😂😂😂HAO UNAOWAGAWIA NDIO WALIOLETA SHIDA ZOTE HIZI. BURGAIN NA WAKALA ILI VIJANA WAPATE KULA MKUU KWASABABU BAADA YA SERIKALI KULETA TOZO BIASHARA YA UWAKALA WA MITANDAO YA SIMU IMEKUWA NGUMU SANA. WABARIKIKIWE WALIOLETA LIPA NAMBA NDIO IMELETA AHUENI KWENYE HII BUSINESS
  7. Lello199

    Motto/ Kauli mbiu gani ya taasisi gani huwa inakuvutia?

    "You are holding a drink blended with a story of ambition, a labor of love from humble beginnings"
  8. Lello199

    Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

    Tunamshuku mama kizimkazi kwa makao makuu madogo kuliko jiji la biashara. Natumai umefurahi sasa mtoa mada.
  9. Lello199

    Biashara za bakery, nafaka na vinywaji

    Mkuu itoshe tu kusema "Bado hujui nini unakitaka kwenye haya maisha"
  10. Lello199

    Mbowe amepooza siasa za harakati, hatoshei tena uenyekiti CHADEMA ya kipindi hiki

    Cecil Mwambe...Sijui hata nilikuwa nawaza nini
Back
Top Bottom