Enzi zetu zile kwenye kila bajeti lazima Kodi iongezwe kwenye bia, sigara na vitu kama hivyo wenyewe wakiviita vya anasa. Baadae wananchi wakapata ufahamu kuhusu madhara ya pombe na pia tumbaku, wapunguza sana matumizi ya vitu hivyo. Matokeo yake mapato ya Kodi yaliyotokana na vitu hivi...
Kwa kuendeleza, na je kama Rais, hajui kwamba huo ni mtego kwani jamaa wanaweza kumwendea kwa jambo lao fulani na hivyo akawa hana budi kuwalipa fadhila waliyomtendea?
Mleta mada umechukua matokeo ya sehemu moja ukadhani ndivyo yatakuwa kwa sehemu zote. MK Party ni chama ambacho kipo katika misingi ya Ukabila. Chama ambacho kina wafuasi wengi wa Kizulu. Matokeo katika Jimbo la KwaZulu Natal yanaonesha hicho chama kimezoa kura nyingi. Hilo si jambo la...
Tatizo letu tunafurahia Sana uwingi wa vitu pasipo kuangalia ubora wa vitu hivyo. Ni kweli tunazo barabara za lami zinazounganisha sehemu mbalimbali za nchi, lakini je hizo barabara zina ubora unaotakiwa. Nyingi zilijengwa muda mrefu na kwa sasa ni choka mbaya zinahitaji matengenezo. Hatuna...
Naona mkopo huu ni moja ya mikopo mikubwa sana ambayo nchi hii imewahi kukopa. Hilo la kuambiwa riba nafuu ni kutaka kujifurahisha tu. Riba ya asilimia moja kwa mikopo wa trillion 6 ni Sawa na billion 60. Hapo nimeitoa mfano tu. Ikipendeza tuambiwe hiyo riba nafuu ni kiasi gani.
Huyo jamaa alipokea rushwa hiyo mbele ya Rai's Mwinyi na RC wa Mkoa gani na ilikuwa mwaka gani? Tukipata maelezo haya tunaweza kuchangia zaidi kuhusu hili.
Hata mimi naliona hilo. Kuna kampeni za kuwasifia watu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Hili jambo si sawa. Subirini wakati ukifika anzeni masifu.
Nionavyo mimi chumba kilijengwa kwanza halafu baadae mwenye nyumba akapunguza ukubwa wa chumba kwa kujenga Choo ndani kwa ndani. Hakukuwa na matayarisho yanayohitajika ili kuzuia harufu kurudi tena chumbani na hivyo balaa likaanzia hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.