Recent content by Kitila Mkumbo

  1. Kitila Mkumbo

    Waliochaguliwa kuandaa mpango wa maendeleo 2050 wote wanaishi Mbezi Beach au Masaki, wanalishwa kwa kodi za umma miaka yote, wana umri zaidi ya 50 yrs

    Unastahili kujibiwa. Twende hoja kwa hoja: Kwamba wajumbe wate wa Timu wana miaka 50 kwenda mbele. Mgawanyo wa umri wa wajumbe ni kama ifuatavyo: 80, 72, 67, 63, 62, 58, 56, 55, 54, 53, 50,48,47, 47, 46, 46, 42, 40, 34,34,29. Mpaka hapo utaona kuwa wenye umri wa miaka 50 ni 11. Kwa hiyo kwamba...
  2. Kitila Mkumbo

    Waliochaguliwa kuandaa mpango wa maendeleo 2050 wote wanaishi Mbezi Beach au Masaki, wanalishwa kwa kodi za umma miaka yote, wana umri zaidi ya 50 yrs

    Duh! Hakuna hata moja lenye ukweli. Twende hatua kwa hatua na hoja kwa hoja: Hoja: Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda meble. Ukweli: Mgawanyo wa umri wa timu ni kama ifuatavyo: 80, 72, 67, 63, 62, 58, 56, 55, 54, 53, 50, 48, 47, 47, 46, 46, 42, 40, 34, 34, 29. Kati ya wajumbe 21, wenye...
  3. Kitila Mkumbo

    Mawaziri kulipwa au kutokulipwa perdiem, nani tumuamini kati ya John Heche na Kitila Mkumbo aliyekanusha madai ya Heche?

    Hiyo ni hoja nyingine. Inajadilika. Kwanza tuelewane kuhusu hii then tunaweza kuendelea na hii kama hoja mpya
  4. Kitila Mkumbo

    Mawaziri kulipwa au kutokulipwa perdiem, nani tumuamini kati ya John Heche na Kitila Mkumbo aliyekanusha madai ya Heche?

    Wanasema experience is the best school. Sasa mie nimewahi kuwa waziri na ninajua posho wanazolipwa wabunge ambao sio mawaziri na wanazolipwa wabunge ambao pia ni mawaziri. Makazi ya mawaziri ni Dodoma. Kwa sababu hii hawalipwi perdiem kwa kuwa posho hii hulipwa ukiwa nje ya kituo cha kazi. Kwa...
  5. Kitila Mkumbo

    Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Hapana. Mawaziri hawalipwi perdiem wakiwa Dodoma kwa kuwa wapo nyumbani. Wabunge wengine wasio mawaziri ndio hulipwa perdiem. Pokea taarifa hiyo tafadhali
  6. Kitila Mkumbo

    CAG mwaka huu umetudhulumu wananchi, ule utaratibu wa mwaka jana ulipaswa kuendelea

    Huwa hufanyika baada ya kuwasilisha taarifa bungeni. Itakuwa hivyo, naamini
  7. Kitila Mkumbo

    Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    Wengi hawajui hili. Tofauti ya msingi kati ya Rasimu ya Tume wa Warioba na Katiba Inayopendekezwa ni muundo wa muungano. Mengine mengi yanafanana
  8. Kitila Mkumbo

    Ushauri kutoka majarida ya uwekezaji kwa Kitila A. Mkumbo

    Ahsanteni kwa maoni. Tutayafanyia kazi
  9. Kitila Mkumbo

    Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

    Tuache hizi siasa za majitaka. Nina miaka zaidi ya mitano sijawahi kufika Kinampanda. Tafadhali sana
  10. Kitila Mkumbo

    Sehemu ya jiji la Mwanza lakosa maji kwa siku 5 sasa bado kimbembe

    Ahsante kwa taarifa. Ninafuatilia tujue kuna nini. Tutatoa mrejesho
  11. Kitila Mkumbo

    Rais alizindua Mradi wa Maji Hewa Sengerema!? Wizara yatoa ufafanuzi...

    Naomba nifafanue ili kuepusha upotoshaji. Huu ni mradi halisi na ndio mradi mkubwa wa maji kuliko yote hapa nchini katika ngazi ya Halmashauri. Katika ujenzi wa miradi ya maji kuna hatua nne kubwa. Kwanza, ni kutambua chanzo cha maji. Pili ni kujenga miundo ya uzalishaji na kuzalisha maji...
  12. Kitila Mkumbo

    Wakufunzi wa UDOM wafukuzwa kwenye nyumba kuwapisha mawaziri waliohamia Dodoma

    Kwani waliokuwa wanakaa hapo sio watumishi wa umma?
  13. Kitila Mkumbo

    Hoja ya Zitto juu ya Haki na mamlaka ya bunge

    Soma kanuni, usiishie kusikiliza tu.
  14. Kitila Mkumbo

    Ziara za kushtukiza sio dhambi: Mrejesho kwa Ulimwengu

    Hoja ya msingi ya Ulimwengu ni kupinga dhana ya kuendesha nchi kwa kutegemea misuli ya individuals badala ya misuli ya taasisi. Misuli ya individuals ni midogo na mifupi mno kuweza kufika kila kona wakati misuli ya taasisi ikiimarishwa ina uwezo usio na mipaka. Ni Kwa sababu hii ni muhimu...
Back
Top Bottom