Kadhalika dawa ya rungu ya kupuliza ipo kwenye kopo ujazo mkubwa na ndogo ni nzuri sana kwa kuua wadudu wanao tambaa na wanao ruka. Hii haiitaji kuchanywa na chochote.
Uliipata funga madirisha na mlango puliza kiasi toka nje baada ya muda wa saa moja hivi utakuta mbu, mende na wengine wamezagaa...
Ndugu soma alama za nyakati, Israel kama nchi huwezi kuita taifa la Mungu, kumbuka nchi hiyo inatawaliwa na Wazayuni ambao itikadi Yao ni tofauti na Wayahudi wengine, Wazayuni wameanzisha sheria nyingi kupiga marufuku hata kumtaja Yesu Masihi katika nchi hiyo, pia wanaeleza wazi kuwa Yesu ni...
N ngumu kupata pesa bila kufanya kazi. Tunapotaka wananchi wapate pesa ni muhimu pia kuwakumbusha kufanya kazi hasa msimu kama huu wa mvua zinanyesha. Nchi itajengwa na wananchi wenyewe.
Ukristo sio dini kwa maana ya mfumo alioufundisha Yesu. Yesu mwenyewe hakuwa Mkristo, neno Masihi lililo tafsiriwa na Wagiriki Wazungu na kulipa jina Kristo ambalo wanafunzi wa Yesu walipofika Antokia, Uturuki ya leo walitaniwa kwa kufanyiwa mzaha na Wagiriki haohao kwamba hawa ni Wakristo...
Shetani ni msomi tena ni mwanazuoni mkubwa tofauti na tunavyoweza kufikiri, siku zote hufanya mambo yake kwa umakini mkubwa. Kazi anayofanya ni kuwapambia wanaadamu mambo yote ambayo Mungu ameyakataza.
Kazi hiyo imekuwa rahisi sana kwake baada ya kupata mawakala freemason walioenea ulimwenguni...
Mizimu ni wafu wa familia yako waliofariki zamani. Mizimu ni tofauti na Pepo au shetani. Ipo imani kwamba mtu anapofariki kinachokufa ni mwili, ila roho au nafsi huendelea kuishi.
Nafsi hiyo inapokufuata kwa kiswahili tunasema umefuatwa na mzimu.
Iwapo mzimu ni wa heri unaweza kufanikiwa katika...
Dunia imewauza WAPALESTINA? Kuna Siri kubwa sana IPO kati ya mzozo huo uliodumu kwa miaka 77 sasa. Nchi za magharibi hasa Marekani na Uingereza wanaifaidika au wametega jambo ili waje wafaidike baadaye kutokana uungaji mkono wa hali na mali kwa Israel, wanaowakolini Wapalestina. Gqza eneo dogo...
Simu ni mkombozi kwa kurahisisha mawasikiano. Lakini simu imekuwa sumu Kali mno. Simu imerahisisha watu kutibiwa na wengine kuuawa. Simu imerahisisha watu wengi kutajirisha kwa kufanya biashara na wengine wamefirisika.
Nakushauri fanya subira usifanye haraka kumuacha, hasa kwa kuzingatia...
Makamu wa Rais kazi yake ni kumsaidia Rais, nikijibu swali lako Makamu wa Rais anaweza kukaa nje ya nchi hata zaidi ya mwezi, kwa sababu yeye ni msaidizi tu, hasa Rais anapokuwa hayupo nchini au anadharula nyingine ya kikazi au kibinaadamu.
Utaona kazi zote ni za Rais, Makamu ni msaidizi hivyo...
Ni ukweli uliowazi kuwa uchawi ni zao la shetani, na mchawi hawezi kufanikiwa katika kazi yake ya uchawi mpaka kwanza ajisogeze vya kutosha kwa shetani.
Iwapo atajisogeza kwa kumfurahisha, shetani naye atakutimizia anayotaka kupitia uchawi. Lakini ni lazima ukumbuke kuwa utakuwa umetangaza vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.