Recent content by Kimbori

  1. K

    The Cuban Banking system has reportedly collapsed. Cubans are reporting via Social Media that all their money is gone from their accounts

    Hata sisi Mungu ametunusuru, utawala ule unfeendelea kuwepo, kutawala kwa sera3zile za Fedha yawekana yangetokea haya
  2. K

    Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Wasamii hawana ubunifu walianza kuanika miili waziwazi, wameona hiyo mbinu imechacha, wakaposti video za pono na sasa ni kutukana. Ikiwa kama anasaidia kampeni za chama unaweza achwa
  3. K

    Wadau nataka nitie laki 9

    Wakamaria ni wakali kinoma. Dah!! 😂😂😂 Hizi siku mtandao ulipopata shida kuna mmoja alikuwa anaporomosha tu matusi
  4. K

    Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Je Wolves wamejenga hoja gani? Natamani kujua sababu walizowasilisha
  5. K

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Hizi hizi kampuni za kitapeli ndg? Yaani kampuni inauza huduma ambayo haipo unatarajia ikupe fidia hiyo
  6. K

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Hali ya janjajanjs ikiendelea hivi, Tanzania itaipiku Nigeria kwenye tasnia ya utapeli
  7. K

    Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Ndio maana wazee waliwachagulia vijana wao wenza. Demokrasia (uhuru wa kuchagua) ni utaratibu mzuri ila unahitaji jamii iliyostaarabika vilivyo - yenye akili na nidhamu.
  8. K

    Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Mtu huanza kuonekana and akili pale anapoanza kuhoji (questioning). Kabla ya kumnanga Msukuma, ni vyema kufuatilia mchango wake kwa makini
  9. K

    Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Na utafiti ukifanywa naamini utabainisha wazi kuwa Elimu ni miongoni mwa visababishi vikuu vya msongo wa mawazo Kwa wazazi/walezi na wahitimu/wanafunzi.
  10. K

    Huyu mjamaa simwelewi

    Bora umeeleza matatizo yako, nimepata kujua sababu ya kuachwa - huyo mraksi alikuzidi akili, na kujua wewe ni mdudu kitambo
  11. K

    Jambo gani lililowahi kukufanya ujisikie aibu/Ujivunie Utanzania wako?

    Hahaha! Mpaka waheshimiwa wanatapeli raia.
  12. K

    Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi

    Kupunguza gharama za umeme, na uhakika wa kupatikana pia itakuwa mkakati mzuri. Pia serikali iwezeshe upatikanaji wa betri bora za sola na kwa gharama nafuu.
  13. K

    Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi

    Kwenye maelezo ni rahisi kutumia biogas, Ila kiutendaji si rahisi. Ukisikia mtu anatamani kutumia kitu flani na akashindwa, ujue kuna ugumu. Hakuna mtu mwenye akili timamu asiyeoenda mambo mazuri na rahisi.
  14. K

    Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi

    Nashukuru kwa michango yote chanya iliyotolewa. Kwa 'upepo wa sera' ulivyo, lengo kuu ni kuwahakikishia 'big boys' wa gesi asilia soko la uhakika kupitia ruzuku. Si rahisi sana kuwagomea 'big boys' kwa kuwa wana ubavu wa kuamua nani ashike nafasi za juu za uongozi. Kanuni na sheria zote hufungwa...
Back
Top Bottom