Recent content by Kijibabu

  1. Kijibabu

    Ushauri wa Wasomi: Mabadiliko ya mitaala hayahitaji hisia; kurugenzi ya Mafunzo ya Wizara ya Afya ifuate kanuni.

    Wewe uko sahihi na yeye(mfamasia) yuko sahihi pia. Mimi kama mfamasia naunga mkono hoja ya mfamasia mkuu. Uthibitisho ni matokeo ya mtihani wa leseni uliofanyika October 2023 ambapo ufaulu wa pharmaceutical technicians ulikua 15.6%. Tena hapo wengine wamepass kwenye second attempt baada ya...
  2. Kijibabu

    Jimbo la Lupa-Chunya limetawaliwa na CCM tangu uhuru, halina barabara ya lami hata nusu kilometer

    Mimi huwa nasikitishwa sana na ubora wa hizi barabara. Kwanini tunajenga basi kama hatuna hela ya kutosha, watu wasomi tunao lakini maamuzi yao ni hovyo kabisa. Kwa mkoa wa Mbeya imekua kawaida sasa kujenga barabara zenye ubora hafifu, kila siku ni kuziba mashimo tuu.
  3. Kijibabu

    Ufaulu kuchaguliwa advance Shule ya Ufundi Tanga

    Tanga tech sio special school, ipo level moja na shule nyingine zote za serikali zinazotoa elimu ya A level. Nadhani kigezo ni C3 kwenye masomo ya tahasusi husika.
  4. Kijibabu

    Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Hata ukiongea broken sio mbaya ila uliza swali la maana. Makocha wengi wa kigeni wana kiingereza kibovu ila wanaongea vitu vinaeleweka
  5. Kijibabu

    Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Mechi ya leo ilikua na maswali mengi sana ya kuuliza hasa mbinu za mchezo. Kuna mahali tunakwama, angalia hata mechi zetu hizi za ligi kuu huwa hawaulizi maswali mazuri
  6. Kijibabu

    Mwarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wapewa kazi ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Kama mradi wa mwendokasi umetushinda basi hakuna mradi tunaweza kuuendesha. Mwendokasi ni sawa na mfanyabiashara mwenye monopoly ya soko 1- njia ni yako, yanapita mabasi yako pekee. 2- Abiria wapo tuu wanakusubiri wewe ulete mabasi. Unahitaji nini zaidi ya hiki lakini bado unapata hasara...
  7. Kijibabu

    Wapi hukuelewa kuhusu movie ya Jumong na Spatacus?

    Hii ni movie tofauti, nadhani inaitwa perfume
  8. Kijibabu

    KERO Wanafunzi tunadai fedha za refund lakini Chuo cha St. John's University of Tanzania kinatuzungusha tu

    Miaka yote huwa wanasumbua sana, hela ikiingia kwenye account ya chuo kuitoa ni kazi. Hapo ungekua unakaa hostel then wanakukata kwenye hiyo ada. Pia direct charges za chuo hulipi, inakatwa hukohuko. Mngemalizana kirahisi
  9. Kijibabu

    KERO Wanafunzi tunadai fedha za refund lakini Chuo cha St. John's University of Tanzania kinatuzungusha tu

    Ada inayolipwa na bodi haiingii kwenye account ya mwanafunzi. Ada inaingia kwenye account ya chuo, mwanafunzi anasaini tuu. Hivyo Chuo kimechukua Ada mara 2 kwa mwanafunzi mmoja.
  10. Kijibabu

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Sure boy leo alikua unga sana. hakabi vizuri, pasi zinapotea, hatembei na mpira hata akiwa peke yake. Usajili wa kiungo mzuri mzawa unahitajika
  11. Kijibabu

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Jimmy shoji mwaisondola, watangazaji huwa wanatamka lote kama lilivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Kijibabu

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Ingekua yanga hapa singida angekua kashachukua 5. Simba kapoteza chances nyingi mpaka singida wamerudi mchezoni
  13. Kijibabu

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Ni mimi ndio sielewi au? Gsm wanazipa hizo timu pesa kutangaza biashara yao na sio kununua timu. So mkataba sio baina ya TFF na GSM bali ni GSM na hizo timu. ni sawa na kuwauliza TFF mkataba wa Simba na Mbet, utakua ujuha. Udhamini uliokataliwa ni ule wa timu zote za ligi kuu kuweka nembo ya...
  14. Kijibabu

    Africa Sub Sahara Best University Ranking; Tanzania yaingiza Muhimbili na Ardhi

    Kama nchi hiki ndio chuo chetu tegemeo, hata sisi ambao hatujasoma hapo lakini kinatuangusha sana. Kinazidi kuporomoka tuu. Hakina tofauti na vyuo vilivyoanzishwa miaka ya 2000. Research ni kitu muhimu kwenye ranking, vyuo vyetu vinafeli sana hapo. Vyuo vyetu vingi website inakua sawa wakati...
  15. Kijibabu

    Najuaje chuo cha nursing kama kimesajiliwa au la?

    Ingia hapa https://nactvet.go.tz/registered-institutions utaona vyuo vyote vilivyosajiliwa
Back
Top Bottom