Recent content by kichomiz

  1. kichomiz

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    Ulioa familia masikini sana , 5 M wanajichanga na Bado haikutimia? Shukuru Mungu kilitokea hicho kisanga , wangekufanya chuma ulete
  2. kichomiz

    Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

    Hapa ndio umemaliza kujibu hoja zake?
  3. kichomiz

    KERO Nimejileta mwenyewe TRA kulipa kodi ila vikwazo ni vingi sana!

    Ahahaaaaa yaani huduma imegeuka kuwa msaada
  4. kichomiz

    Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Sio kama layman ni layman kabisa
  5. kichomiz

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    Njaa ndio zinawasumbua ,hao hawana tofauti na akina Mwijaku
  6. kichomiz

    Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Na hawataki kukuona ukila na kunywa vizuri ,wanataka kukuona unalialia na kuhuzunika muda wote
  7. kichomiz

    Tusinunue vitu Used jamani

    Hii code wataing'amua wachache sana
  8. kichomiz

    Hizi kodi zinalipika vipi jamani?

    Nchi ya makusanyo hii,tunakamuliwa Kodi wanene wanajichana na kuzipiga bila huruma, Na mikwara na vitisho tunavipata
  9. kichomiz

    Ila wanaume sisi nimakatili Sana hivi kwanini hatuwezi kuoa mwanamke ulimuachanisha na mume wake?

    Uaminifu ni kitu kikubwa kuliko pesa, mwizi hawezi acha wizi
Back
Top Bottom