Recent content by kichekoh

  1. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Nakala ngumu (hard copy) tutawaziwasilisha katika ofisi yako ndani ya juma hili tunaloanza nalo tukiambanisha picha na vyote vinavyotakiwa. Vijana wameanza kufanya kazi kuanzia muda huu.
  2. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Lengo hasa ni kuwawezesha vijana kufikia malengo yao na kutimiza ndoto zao. Hivyo shirika linahitaji fedha kwa ajili ya shughuli zake za kila siku na kuweza kulipa posho pamoja na mishahara. Fedha zote zitumwe kwenye akaunti namba 20310100546.
  3. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Hivyo basi natangaza rasmi uzinduzi wa shirika hili jipya linaloitwa BIRDS MUSIC CORPORATION (BMC). Hili ni shirika lililojikita katika uzalishaji wa kazi za muziki. Tutakua na wasanii wakubwa wenye majina na tutakua na wasanii wadogo wanaochipukia.
  4. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Uchaguzi umekwisha salama na washindi wamepatikana. Tumepata waheshimiwa wabunge wapya. Pia nimeteua maafisa wengine watakaonisaidia katika shughuli mbalimbali. Sambamba na hilo nimeteua wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wapya watakaoniasaidia maeneo mbalimbali ya kiutawala.
  5. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Wahasibu wanatakiwa haraka mno kuliko kada nyingine yeyote. Wanatakiwa 20.
  6. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Ajira haziishii kesho tu ni zoez endelevu. Ila ukiwahi unakua umejiwekea mazingira mazuri
  7. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Baada ya kunipa taarifa hizo nikikupiga picha au nikakutumia meseji unitumie picha. Hapo utakua umeajiriwa. Na ntakuunganisha kwenye group la wasap.
  8. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Kuhusu wakubwa na wadogo kuanzia kesho mtaanza kuomba ajira upya kwang mimi. Njo na karatasi iliyoandikwa taarifa zako kamil. utaandika majina yako yote matatu. Mwaka ulozaliwa. Kazi unayofanya hiv sasa au taaluma ulobobea. Baada ya hapo utaweka namba ya simu ya kawaida na utanipa ya wasap. Na...
  9. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Ili uhesabike umeajiriwa ni lazima nikupige picha mimi mwenyewe au nikikutaka unitumie picha. Kinyume na hivyo we bado hujaajiriwa na sikutambui.
  10. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Kuanzia hiv sasa nimetengua ajira zote zilizotangulia kabla. Tutaanza kuajiri upya kuanzia kesho. Tutateua muhasib na hakimu. Na wabunge watatangazwa kesho hiyohiyo. Na wao pia mchakato wao utaanza upya.
  11. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Kuanzia asubuh waheshimiwa watanad sera zao.
  12. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Kesho itakua siku ya uchaguz katika kata yetu ya Ilala ambao utasimamiwa na mkurugenzi wa kata hiyo. Muda wa uchaguz ni sa 11 jioni.
  13. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Nimepata mawasiliano asbuh hii. Taarifa ya mgonjwa ni asilimia 50.
  14. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Jitahidi mpaka sa 4 had sa 6 kijana wako nikutane nae. Sina mawasiliano ya uhakika
  15. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    Kesho asubuhi naweza nisitume sms kama zikiendelea hivihivi
Back
Top Bottom