Nyie andikeni kishabiki kama gaza haijabakia makumbusho. Taifa pekee lililojitolea kuitetea gaza kwa kuifungulia kesi Israel ni Afrika Kusini peke yake mpaka sasa, hakuna Muarabu yoyote aliethubutu kufunua pua.
Mbona kama kuna kaukweli hivi?
Kwanini umeshindwa kumpata huyu mtu unayemhitaji ktk mazingira yako unayoishi au kufanyia kazi?
Kwanini unataka mtu asiefahamu mazingira yako unayoishi au kufanyia kazi?
Kwanini ni kuzaa tu na sio ndoa?
Kwanini unafikiri mtoto ni faraja kinakusibu nini moyoni...
Naona kila Taifa, taasisi watu binafsi wanajifichia hapo kwenye wanawake wazee na watoto, hao mnaojifichia hapo na kutaka kupata kura za turufu za huruma waambieni wasiwafiche magaidi pamoja nao vinginevyo wataisha, wakumbuke vita havina macho, bomu sio risasi usema itamchagua mhusika tu.
Hiyo daraja mbili ni kaeneo ka uhalifu wa kutisha tangu tanganganyika iumbwe, hata ikitokea kuna wababe wanataka kuitawala nchi upande mmoja naona itaanzia hapo, polisi wenyewe wanaogopa, wakipita ni wanapita juu ya madifenda hawathubutu kushuka chini wafanya msako wa mbwa kwa mbwa.
Kwa sasa...
Ktk wabunge ambao hawajawahi kulisaidia hili taifa ni huyu mwehu nouwe, ni mouuzi 1 anaejiwazaga yeye mwenyewe kimaslahi na si taifa. Ni jitu linaliwaza uchawa muda wote, hajawahi kuwa na akili au kutoa hoja enye mashiko kwa taifa mkoa wilaya kata kijiji na hata mtaa. Chawa namba 1 bungeni.
Nyani huwa haoni kirakawe kalioni bali hucheka cha wenziwe.
Mkeovunaemuacha nyumbani ni mke wetu mtaani au mke wetu ktk nyumba tuliopanga au ni mke wetu ktk kikazi ulichomfungulia mjini au mtaani popote.
Nikwambie tu mwanamke ni yule yule popote alipo hajawahi kumuacha mwanaume salama
Pole mzee baba, ulikosea kumpokea alipoletwa na wazazi, hapa ndipo ulipopigwa.
Binafsi yalinikuta japo ni tofauti kidogo, wazazi walinijia juu mbaya kuhusu kumrudisha, mama akatishia hadi kuniachia laana nikamwambia we niachie tu hiyo laana mama haina shida, baba akawa mkali nikamwambia bora...
Hawa huwa wanakua wamekufa marinda yote hili liko wazi.
Zanzibar mnajitahidi sana kuipromote lakini ndio chimbuko la usenge, chimbuko la vijana ambao shule hakuna kichuani, chimbuko la ujinga mwingi hata wa kudini mfano kumnyima mtu kula hadharani wakati wa Ramadhan, huu ni ujinga.
Unatafuta sababu tu za kumkataa, huna haja ya kuanzia mbali au kuzunguka sana, we mkatae tu yaishe.
Hata wewe ukijakuwa na familia hatakuomba msaada pia coz utakuwa na majukumu muhimu, mbona kakujibu poa sana?
Basi kipindi cha nyuma kidogo nilikuwa nikisikia kardinali nilikuwa natetemeka naheshimu naogopa ila tangu nijue dunia imejaa utapeli mwingi na watu wanatumia dini kujinufaisha nasali kwangu na Mungu wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.