Kuwa loney maana yake kuwa concentrated na jambo kuu muhimu,familia haiwezi ikakupa mda wa kufanya utulivu au kuconcetrate na kitu fulani, maana familia au uhusiano ni gharama ya muda na Mali,pia changamoto ni nyingi za kutatua ili familia au uhusiano uwe sawa.Ndo maana matajiri wengi wako...
Asili yake anatokea familia duni,sasa yeye alipata mwanga sasa huwezi jua alipopata akawaona wenzie hawajasoma wako backwards si unajua tena wasoma wa zamani wengi wao,maana hata watoto wake wa Songea na MBEYA hawajijitokeza.Hata mapito aliyopitia yaweza kuwa ni km laana,malipizi,au mafunzo...
Mapenzi bila hela ni sawa na chai Bila sukari,labda ungezaliwa miaka ya sitini.Unapiga hesabu ya kuoa,utaweza hudumia kuna saluni,vocha,pocket money,nk.Labda upate bosslady nae atakupiga chini tu,hela ya mwanamke ngumu bwana uliza walioa na wote wanafanya kazi.Ikitoka ni kwa Mkopo au kwa...
Wakishamfuta uanachama hana chake hana nguvu, waliopigania Uhuru ni wengi kuliko hata kwa kujitoa sema walimpa tu heshima ya kuwa kiongozi lkn si kwamba yeye ndo alielima yeye kapewa tu walioumia ni wengine soma history ya zimb.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.