Recent content by kanyagio

  1. kanyagio

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Naona hali si shwari maeneo ya Salendar. Foleni kubwa mno. It seems kuna tukio lisilo la kawaida.
  2. kanyagio

    Mashuka ya Hotel yanahitajika (Kwa bei ya jumla)

    Helllo na mimi nahitaji. Mwenye kuwa nayo email nat867@gmail.com
  3. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    More than Hyatt and New Africa
  4. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    You are hired come and start
  5. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    I gave u example. There is no standard on job advert. It all depends on organization policy. Our policy is to discuss salary matters as part of the interview
  6. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    That is not the purpose of the advert. If you want to know our Customers attraction plan, I can email you our strategic, business and marketing plans....
  7. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Je katika tangazo hili kuna mshahara? TANESCO yatangaza nafasi za kazi mbalimbali 574
  8. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    You will need reference who can comment on your behaviors and performance...
  9. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Si lazima kuweka kiwango cha mshahara kwenye Tangazo. Anayeomba na akaitwa kwenye usaili atajadiliana suala mshahara.
  10. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Sijawahi ona. Nipe mfano wa Tangazo lililotaja mshahara
  11. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Ahsante kwa maoni. Si kawaida kuweka mshahara kwenye Tangazo.
  12. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Carepoint Lodge, ni lodge mpya ya kisasa inayotegemea kuanza biashara mwezi September 2020 maeneo ya Madale, Dar es salaam. Lodge itakuwa na vyumba takribani 15 ikikamilika. Tunahitaji wafanyakazi wafuatao: 1)Mapokezi (Front Office staff,): uwe na uwezo wa kuhudumia vema wateja (customer...
  13. kanyagio

    Majina ya miaka kwa lugha ya Kihaya

    Njoo upate tuition
Back
Top Bottom