Recent content by kaisa079

  1. kaisa079

    Riwaya mpya ya *Time*

    Message moved
  2. kaisa079

    Elections 2010 Acheni uoga wa kipuuzi

    Jana wakati nimekaa sina hili wala lile ikaingia sms katika kibofya changu toka katika namba '+3588108226' ikisema,'SLAA NI MROPOKAJI NA MGOMVI ANATUKANA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.ANATAKA DAMU IMWAGIKE ILI MRADI AINGIE IKULU.TUMKATALIE KUIGEUZA NCHI YETU SOMALIA'. Baada ya kusoma sms hii...
  3. kaisa079

    Iodine Deficiency

    JAPOKUWA MCHUMIA JUANI ALIKOSEA KIDOGO KUHUSU SWALI LA IODINE DEFICIENCY LAKINI KUNA EVIDENCE KWAMBA IODINE DEFICIENCY HUSABABISHA HYPO AU HYPERTHYIROIDISM ,INGAWA MADHARA ZAIDI NI HYPOTHYIROIDISM LAKINI BADO NAMTETEA MCHUMIA JUANI KWA KUWA TANGU MWANZO ALIELEZA KUWA MUDA WAKE NI MFINYU NA...
  4. kaisa079

    Wana JF Tuipe Uzito Habari hii

    BARUA YA WAZI KWA MKUU WA WILAYA YA TARIME Ndugu Mhariri, Sisi ni kati ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mwera Vision iliyo katika wilaya ya Tarime. Tunachukua nafasi hii kuipongeza serikali katika juhudi zake za kuhakikisha wasichana hasa kutoka viojijini wanapata elimu.Suala la...
  5. kaisa079

    Kilio Hiki Cha Wanafunzi Kisikilizwe

    BARUA YA WAZI KWA MKUU WA WILAYA YA TARIME Ndugu Mhariri, Sisi ni kati ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mwera Vision iliyo katika wilaya ya Tarime. Tunachukua nafasi hii kuipongeza serikali katika juhudi zake za kuhakikisha wasichana hasa kutoka viojijini wanapata elimu.Suala la...
  6. kaisa079

    Soma Hii:Matokeo ya uchaguzi Kenya: Nilishinikizwa, sijui kama Kibaki alishinda

    FROM MAJIRA TODAY *Adai maandalizi kumwapisha Kibaki yalishakamilika *Akubali uchunguzi ufanywe kuhusu matokeo ya urais *Wanasheria wataka marais Afrika Mashariki waingilie *Kivumbi chasubiriwa mkutano wa ODM Uhuru Park leo NAIROBI, Kenya MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya...
  7. kaisa079

    Serikali na Bajaj: Tunaelekea wapi?

    Bajaj sasa kuwa 'ambulance' SERIKALI itatoa pikipiki za magurudumu matatu (bajaj) kwa vituo vyote vya afya na zahanati nchini, ili kukabiliana na tatizo la usafiri kwa wagonjwa. Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa, alisema wizara...
  8. kaisa079

    Dr. Shoo hapa Kasema Kweli! Vijisherehe hivi

    MOJA ya mambo ambayo hatuwezi kulaumiwa kwamba tuna uhaba nayo bila shaka ni sherehe. Sisi kama Taifa tunazo sherehe chungu nzima. Zipo zile sherehe ambazo zimepangwa katika kalenda ya kila mwaka. Hizo achana nazo. Kuna sherehe nyingine nyingi kote nchini ambazo kila siku utazisikia katika...
  9. kaisa079

    Udhalilishaji Wa Wataalamu Hauvumiliki!

    Kweli kabisa tatizo kubwa la viongozi wetu wanatanguliza undugu na urafiki katika kuteua watendaji pasipo kujali utaalamu wao na uwezo wa kufanya kazi matokeo yake ndo haya mikataba inasainiwa utadhani mtu alipewa dawa ya usingizi.Ni lazima sasa kuangalia uwezo wa mtu wa kufanya kazi na elimu...
  10. kaisa079

    madaktari wetu wanatupeleka wapi?

    Kuna makosa mengi sana tu yanafanyika kuna wamama wanafanyiwa operation kuwa wana uvimbe tumboni halafu hakuna kitu.Na siku hizi udaktari siyo wito kabisa yaani watu waenda kusomea udaktari wakiwa hawana kabisa moyo wa kusaidia na matokeo ndiyo haya
  11. kaisa079

    Matangazo ya TV yanachanganya sana

    Kweli nakubali kwamba sisi ni masikini sana na ili vyombo vya habari vijiendeshe vinahitaji fedha ambayo inatokana na matangazo,kinachoniudhi na kunikwaza ni pale ambapo unaangalia TV mara linatokea tangazo la sabuni mara 'Revola ni sabuni nzuri' baada ya dakika mbili unaona'Protex hulinda ngozi...
  12. kaisa079

    Kutoa Misaada kwa mayatima Vyombo vya habari vya nini?

    Aisee watu wanachekesha sana,ati mtu aenda kutoa msaada mahali mpaka aite msululu wa vyombo vya habari,hivi kweli wana nian ya dhati hawa au ndo wanatafuta umaarufu?.Kwani ukitoa kimyakimya Mungu akakusifu hutajisikia vizuri? mimi nadhani wana 'primary'intention iliyofichika.Ni maoni tu jama...
  13. kaisa079

    Mzito wa Kabwela Kumbuka Kumuua kobe ni kwa kumvizia

    Kweli kabisa jama ukitaka kumuua kobe wewe shika jisu lako kubwa tu halafu mwekee majani kinywani na kuvizia akichiomoza kichwa tu unamkata! usemi huu unadhihirika katika mambo mengi sana katika maisha yetu ya kila siku,kwa mfano katika siasa Mheshimiwa Marando wa NCCR-Mageuzi alivyochomoza tu...
  14. kaisa079

    Mwalimu wa Watanzania ni Marehemu?

    Kila siku tunalia hali ngumu ya uchumi,mara vigogo wanaiba fedha ya nchi yet tunawafahamu hata kwa majina mmojammoja lakini najiuliza inakuwaje wakati wa uchaguzi tunawachagua hao hao tunaowaoita wezi? Mwalimu wetu wa kutufundisha jinsi ya kuamua amekufa? Wewe unajua kabisa sehemu pekee ambayo...
  15. kaisa079

    Mwalimu wa Watanzania ni Marehemu?

    Kila siku tunalia hali ngumu ya uchumi,mara vigogo wanaiba fedha ya nchi yet tunawafahamu hata kwa majina mmojammoja lakini najiuliza inakuwaje wakati wa uchaguzi tunawachagua hao hao tunaowaoita wezi? Mwalimu wetu wa kutufundisha jinsi ya kuamua amekufa? Wewe unajua kabisa sehemu pekee ambayo...
Back
Top Bottom