Recent content by Interested Observer

  1. I

    Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

    Zote ni point!!!!!!!!!!!!!!!!!1 Kaacha maneno mawili: Disgusting & Abominable!!
  2. I

    Watanzania wengi hawapo Flexible, Wengi ni Conservative na hapo ndipo CCM inaposhindia.

    Ukisema conservative naona unawapa sifa ambayo pana mno. Ungesema “wakuda”, hawako informed, hawana upeo wa juu wa mawazo. Ukisema ati siyo flexible hapo napo kidogo unawapa narrow definition. Ungesema hawako liberal - yaani backward mindset, deplorables etc ujue factor kubwa cha wa Tanzania...
  3. I

    Bashe: Rais Samia ametupa Idhini kuyarejesha Serikalini Mashamba ya MO Dewji ikithibitika hana Nia ya kuyaendeleza kwa mujibu wa Mkataba!

    Kipara kwa nini wewe hubahatishi? Mtu kawa hadi billionaire wa dollar wewe unasema anabahatisha!
  4. I

    Waziri Aweso: Ndani ya miaka 3 ya rais samia huduma ya maji safi na salama imeimarika vijijini na mijini

    Dakika moja ya hotuba kataja jina lako mara tatu. Hotuba za siku hizi bana
  5. I

    Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

    Yeye alienda kukopa Akapewa mkataba akausoma Akasaini Alisaini baada ya kujirizisha na mkataba. Kashindwa kulipa Nyumba ndiyo ilikuwa rehani Wakopwshaji wanataka pesa yao Wanauza nyumba yako (rehani) wanachukua million tatu Yao + riba. Ya juu wanakurudishia. Kuna tatizo gani hapo? Kama...
  6. I

    Lissu and the Company, wamefaidi matunda ya Muungano wamewapa watoto wao uraia wa nje, sasa Wanapotosha vijana, tuwakatae kwa nguvu zote

    Hata aibu mnakosa. Mlimchapa risasi 38 zikapenya 19, akakimbilia Kenya, mkamfuata mmalize akawatotoka akaenda Ubeligiji, sasa ati baada ya kumshindwa mnaanza ati watoto wake sijui nini eh… Bibi ushungi wajomba zake wako Uarabuni mbona hamna hofu?
  7. I

    Ally Happy naye ashindwa kumjibu Lissu, apuyanga bila kujibu hoja

    CCM wenyewe wanapondana walituvalisha ngozi! Yaani maRais wa Zanzibar ndiyo waokozi wa nchi hii!! Kamponda Nyerere na kumnukuu hapo hapo. They don’t know what they are talking about
  8. I

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Lengo lake lilikuwa kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Zanzibar Kuja Tanganyika na Lengo lilifanikiwa

    Eti viwanda vyao Mwingi na Bakhresa ni pete na kidole. National Milling Dar unajua shareholders wake? Huwezi kuwaita walikuwa wawwkezaji bali walikuwa migrants wa uchumi kama wachuuzi
  9. I

    Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Grow up bro! Kwa hiyo hujihusishi na siasa una unawaachia hao mbwa wakutawale? Sema tu wewe siyo msomi. Ni msomi uchwala kama huyo unayemtaja. Humuoni msomi makini Lisu anavyopigania nchi yake? Wasomi wote wangekuwa kama Lisu tungekuwa mbali sana.
  10. I

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    CCM wote mnakosa akili. Hata kama moyo wako unauma unabana. Ujinga huu
  11. I

    Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Upotoshaji mkubwa, toa reference wapi imeandikwa Nyerere alimfuata Karume kutaka Muungano? Nyie mmekuwa chawa sana sasa. Baada ya Mapinduzi ya Zanzibar Karume ndiyo alimtafuta Nyerere kuomba Muungano. Na Karume alitaka Zanzibar uwe mkoa Nyerere alikataa. Sasa nyie waongo chawa mnatoka wapi na...
  12. I

    Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Na tatizo linguine ambalo CCM inalikabili ni kuendekeza wazee wenye siasa za uzoefu bila elimu na maarifa. Apoongea mCCM utajua tu huyu ni CCM wana ile tabia ya kulinganisha na matatizo ya wengine ili kuhalalisha ya kwao. Halafu wanarukia juu juu, na hawatoi concept kwa nini Sweden au Lesotho...
  13. I

    Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Mmmm, lakini Biden siyo dictator, hajalazimisha wala kubadiri katiba. Hao wengine ni dictators waliolazimisha katiba ili kubaki madarakani,
  14. I

    Rais Samia na Familia yake Wachangia Milioni 100 Ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Karoli jimbo kuu la katoliki Arusha

    Kuwa mjinga siyo tusi, “ignorant” yaani “hajui”, kwa hiyo ni mjinga. Twende nyuma. Rais mshahara Tshs: 35 million kwa mwezi. Anatoa msaada mmjoja 100 millioni! Yaani Tanzania ni nchi among 20 poorest in the world!!! Haaaaaaaa. Hata Biden hana uwezo huo. Familia ya Biden juzi juzi tu last week...
Back
Top Bottom