Recent content by inspectorbenja

  1. I

    Usipende kununua magari yaliyotumika Tanzania

    Nakubaliana na wewe 100.Gari ikiwa na bodi nzuri hata kama limepauka.Na chini kukawa poa.Hata kama injini ni mbovu Unanunua mswaki unaweka biashara imeisha. Mimi siku hizi natafuta mwenye gari iliyokufa injini,nanunua kwa bei nafuu,naenda kuweka mswaki.Biashara imeisha.
  2. I

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Mchele guwa unapakwa mafuta ili usiharibile,kupungua siyo kungara bwana wewe
  3. I

    Wadau nataka nikamate kitu Corola X, ushauri

    Wadau wote mnaotoa michangongo yenu kunisaidia kimawazo mimi Kabwela "Common Man" nawashukuru sana.Ila bado naona kama ushauri wa kitaalam sana sijapata.Ndugu zangu wengine nwanapota tu hapa hata hawatupii chochote.Jamani sadaka siyo mpakanupeleke kwa nabii.Ukitoa mawazo yako hapa ni sadaka...
  4. I

    Wadau nataka nikamate kitu Corola X, ushauri

    Wadau, kama nilivyosema hapo juu. Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man". Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola. Sasa nimewaza, kutungua kitu show room siwezi. Kumvua mtu bei za Ist, Alex Runx kama zipo juu (Mind you hii ni kutokqna na uwezo wangu, usilete dhihaka...
  5. I

    Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

    Waziri mmoja alishawahi kusema mwanafunzi akikutwa na simu shuleni afukuzwe mara moja
  6. I

    Microsoft Excel Short Course

    Mbona youtube ni chuo tosha,labda uwe mvivu. Kuna watu wanadhani excel unaweza tu kupewa formula za kila kitu alafu ukawa umemaster.Kumbe wangejua,excel ni msitu mzito.Utaelewa upande wa mahitaji yako ya kila siku tu.Mengine hautakuja kuyajua. Hatabwaliotengeneza wenyewe hawaijui excel yote.Kila...
  7. I

    Msaada juu ya Escudo

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590. Na je kama watalaam wa magari mnanishauri kununua hiyo,maana ni gari ya zamani sana.Ninahofu upatilkanajinwa spare
  8. I

    Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Kuwa mmarekani haimanishi woye wana akiki na mawazo sawa.Amerika kuna waislam swafi,pia kuna misikiti ya mashoga,kuna wakristo safi,pia kuna wakristo mashoga,kuna wanaoamini Mungu,kuna wqpaganai,kuna freemasons,kuna wapigania haki za binadamu,kuna makundi ya mamafia.n.k. Kiufupi hoja yako ni...
  9. I

    Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

    In Islam you cannot separate religion snd politics,they are one.
  10. I

    Uwindaji wa Tembo Endulen Umedhoofisha Diplomasia na Kenya

    Mi naona wawamalize wote tu kusiwe na kitu.
  11. I

    TTCL kufanya maboresho ya mifumo

    Linaboresha mitambo gani sasa.kwani wanatumia hata miyambo lweli hawa jamaa. Hivi wqnajihusisha na nini kwanza.
  12. I

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Alafu utasikia ohhh sijui Mo na Bakresa ni vichwa vya biashara,wakati ni wanyonyaji wakubwa.Utajiri wao unatokana na dhuluma na jasho jingi sana la walalahoi.
  13. I

    Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

    Braza,Bandugu apo keshasema Old model.Ww unamtolea toleo lililofuata.Unqmtafuta ubaya.
Back
Top Bottom