Recent content by Iniho

  1. I

    Natafuta Mkulima wa English Cucumber

    Kuanzia 50-100 nitakuwa nachukua mara kwa mara maana nauza pia
  2. I

    Natafuta kazi ya SALES ama Usimamizi wa Biashara

    Nakuchek nina kqzi moja kama tunaweza fanya pamoja
  3. I

    Natafuta mtu wa kunisaidia marketing

    Hello wapendwa natafuta mtu wa kunisaidia marketing niko Dar es salaam nina kampuni tumesajiliwa na tunatoa receipt za EFD tunadeal na general supplies sema kwa sasa tunasupply vegetables,Fruits,Lkn na Detergents hasa hz liquid soap au sabuni nimebase kusupply kwenye hz restaurants na hotels so...
  4. I

    Natafuta Mkulima wa English Cucumber

    Mimi niko dar naweza chukua PC nyingi tu cause ni biashara nafanya.
  5. I

    Natafuta Mkulima wa English Cucumber

    Lincoln naomba unipatie namba yako watsaap tuwasiliane zaidi
  6. I

    Natafuta Mkulima wa English Cucumber

    Niambie bei unauzaje ili niweze kubargain huwa nanunua bei tofauti tofauti
  7. I

    Natafuta Mkulima wa English Cucumber

    Sio zucchin Google zucchini na English Cucumber ni vitu viwili tofauti
  8. I

    Natafuta Mkulima wa English Cucumber

    Habari Wapendwa wa Jamii Forums Natafuta mkulima wa hizi tufanye biashara hii inaitwa English Cucumber kama inavyoonekeana hapa pichani. Kama naweza pata mtu tuwasiliane kwa namba hii 0684-753836
  9. I

    App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

    Hv hii unaweza poker wageni na kuwapeleka may be hotel za kitalii au ni lazima wewe ndo uwahost
  10. I

    App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

    Global Citizen hii kitu nimejifunza iko vizuri je hii unaweza pokea wageni na kuwadirect kwa hoteli za kitalii au ni lazima wafikie ninapoishi??
  11. I

    Imported fruits

    Hello Wapendwa naomba mnisaidie kwenye kujua wapi naweza pata matunda haya hapa chini kwa bei nzuri au mfanyabiashara anayeleta mengine yanatoka South Africa naomba msaada jamani. IMPORTED ITEMS Asparagus Peaches imported Nectarine imported Plums imported Grapes green/red Tangerine imported...
  12. I

    Nahitaji Mayai ya kienyeji Dar es Salaam

    Wewe unauza bei gani ili niweze kubargain
  13. I

    Nahitaji Mayai ya kienyeji Dar es Salaam

    Habari za muda huu, Nahitaji muuzaji wa jumla wa mayai ya kienyeji kwa wiki nitahitaji trey 15. Niko Dar es Salaam aliye serious anichek.0684-753836
  14. I

    Nimeamua kuondoka kwa kaka na kujitegemea

    Pole ila wahenga walishasema mtegemea cha ndugu hufa masikini vile vile biblia imeandika Alaaniwe amtegemeaye mwanadamu hvyoo jitafute ujipange upya muda bado upo ni heri umeshtuka na 32 kuna wenzio walishtuka na 40 na kuendelea
Back
Top Bottom