Recent content by Idimi

  1. Idimi

    Car4Sale Carina TI inauzwa

    Mfuateni inbox basi. Naamini bei inazungumzika
  2. Idimi

    Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    I wonder. Mie sio mchagga lakini nakerwa na tabia za kuwasimanga wadada wa kichagga, ilhali tabia za namna hio zipo kila kabila. Hio ni character ya mtu mmoja mmoja, hasa kwente tamaa za mali.
  3. Idimi

    Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

    Ushauri mzuri sana. Serikali , nje ya mkuu wa mkoa, ina vyombo vyake vya kutatua matatizo mbalimbli kama vile mabaraza ya ardhi ya kata, mahakama nk.
  4. Idimi

    Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

    Jamaa huwa ni msoma upepo sana (publicity).
  5. Idimi

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    Vyama vyenyewe ni akina ADC :D :D :D :D :D
  6. Idimi

    CHADEMA kusambaratika kwasababu ya uroho na tamaa ya urais wa viongozi wake

    Mlianza na CUF kusema wana udini. Mkaja NCCR na Uchagga. Now Chadema na ukabila. Anyway, what is the next move?
  7. Idimi

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    Akina Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wakirudi ku comment hapa nishtue. Maana ubaguzi wanaanza wao, wakijibiwa wanakuwa wakali!
  8. Idimi

    Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Jibu hoja za Lissu bro.
  9. Idimi

    Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Utapuuzaje hoza za kikatiba? Kwamba Mzanzibari anaruhusiwa kumili ardhi bara, ila Mtanganyika haruhusiwi kumili ardhi visiwani, hilo nalo la kupuuuzwa?
  10. Idimi

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    Kabisa. Nilitatarajia wangejibu hoja za kikatiba alizoibua Lissu, wamekazana na mashambulizi
  11. Idimi

    Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Yule UVCCM wa Bukoba anayepanga kuwapoteza wapinzani unamuweka kundi lipi? Sabaya na Makonda ambao nao walisema watamaliza wapinzani nao unawaweka kundi gani ati! Mtu wa Tanganyika hawezi kumiliki ardhi visiwani Zanzibar, ila mtu wa Zanzibar anawexa kumiliki ardhi hapa Tanganyika. Huu sio ubaguzi?
Back
Top Bottom