Recent content by IbrahimTechNerd

  1. IbrahimTechNerd

    Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

    Mungu wetu aui kwa kuogopa mtumishi wake kuumbuliwa.. Mitume wa zaman waliuawa na Mungu akuzuia kwasababu ni Mungu mwenye utaratibu..
  2. IbrahimTechNerd

    Natafuta kazi yoyote, nina elimu ya Kidato cha nne na pia nna Certificate ya computer science

    Habari za leo ndugu zangu. Naomba niende Moja kwa moja kwenye point. Mimi ni kijana wa miaka 23 na wakati huu ninatafuta kazi yoyote kwaajili ya kujikimu kimaisha. Nina elimu ya form four na pia nna certificate ya computer science.. Naongea kiswahili na Kingereza fasaha. Ni dereva nisie na...
  3. IbrahimTechNerd

    Tupeane experience ya ajira yako uliipata mwaka gani na uliipata vipi?

    Nimekaa sana bila ajira wala mchongo nikaona niingie Jamii forums kidogo nicheki ramani ndio nakutana na hii issue daaah.. Lakini tusikate tamaa tuendelee kupambana tu..
  4. IbrahimTechNerd

    Ajira nyingi zinahitaji watu wenye uzoefu, sisi ambao hatuna uzoefu tunaenda kuupatia wapi ili tuajiriwe?

    Hili swali nimejiuliza kwa muda sasa.. Kila sehemu wanataka uzoefu sasa sijui tuutoe wapi..
  5. IbrahimTechNerd

    Ajira nyingi zinahitaji watu wenye uzoefu, sisi ambao hatuna uzoefu tunaenda kuupatia wapi ili tuajiriwe?

    Ukimaliza taaluma ya ufundi ukianza kusaka job utaambiwa uwe na uzoefu [emoji23][emoji23]. Dunia ya uzoefu hii
  6. IbrahimTechNerd

    Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

    Usipo kubari kukosolewa face to face basi jiandae kusemwa behind your back.
  7. IbrahimTechNerd

    Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

    100% true.. [emoji23] [emoji23] Inashangaza sana
  8. IbrahimTechNerd

    Computer4Sale Laptop dell core i3 bei nafuu

    Hiyo 100k kanunue tecno uwajulie hali nyumbani kwenu.
  9. IbrahimTechNerd

    Unaweza Lipwa Mshahara Wa sh/ Mil 1.5 Serekalini?

    [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  10. IbrahimTechNerd

    Kwanini naamini kuwa Serikali ya Magufuli haitafanikiwa hata 20%...

    Oya tunakuitaji kituoni [emoji1787][emoji1787]
  11. IbrahimTechNerd

    Nahitaji business partner au IT partner tupige kazi katika maswala ya ICT

    Mkuu naomba unicheki 0624951695 tuongee nipo dar es Salaam
  12. IbrahimTechNerd

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Unataka kijana mmoja kwa kazi zote 3 au vijana watatu kwa kazi moja moja hapo
Back
Top Bottom