Recent content by huku kwetu

  1. huku kwetu

    Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

    Jamn nisaidie mm nikigndisha kwenye freezer mbona inaganda zile za pembeni tu hizo za katikati haigandi natumia Hisense freezer shida ni nini
  2. huku kwetu

    Utapika chakula gani Xmas hii?

    Mchana ntasonga kiugali na mboga yoyote, jioni ntawatoa out wakale kitimoto na ndizi na wine.
  3. huku kwetu

    Mboga nilioikuta Tanga sijawahi kuiona popote, ni mbaya

    Tanga kuna mboga nyingi sana za ajabu ajabu, kuna bweta sijui nn zingine nimeshindwa mm
  4. huku kwetu

    Nahitaji rafiki wa kuchat

    Acha bangi
  5. huku kwetu

    Nahitaji rafiki wa kuchat

    Habar, kwa sasa napitia wakati mgumu kidogo nahitaji mtu wa kuchat nae wa kunifanya nirelax..mm ni mwanamke mwenye 32yrs.
  6. huku kwetu

    Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

    Mm natafuta mtu wa kuniliwaza jmn
  7. huku kwetu

    JamiiForums Usiku wa manane

    2.38
  8. huku kwetu

    NMB wamenivuruga usiku huu

    Mm natumia kila siku na sijaona shida yoyote ile ya zaman au hii mpya!
  9. huku kwetu

    Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

    Yani ambavyo sijipendi nilivyonenepa, dont wish kabisa
  10. huku kwetu

    Yuko wapi Charles Jangalason?

    My favourite song
  11. huku kwetu

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Shida ile hii stor akat inatoka kwanza ilikuwa haitok hata kwa mfululizo wa siku tulikuwa tunasugua gaga hata wiki nzima ndo inakuka so kutokana na ivo comments zilikiwa nyingi sanaa ndo maana unapata shida kuipata next epsode. Wewe uwe una scroll ivo ivo utaipata tu inayoendelea
Back
Top Bottom