Maji yamekuwa ya shingo nini? Wako wapi waliokiwa wanashangilia kununua ndege bila mpango, na wale wa mikataba ya siri?
Nafikiri hawezi kutoa ushauri wa kitaalamu bila kuona mkataba na mwenendo wa kesi. Kama kweli utaalamu wa Lissu unahitajika wahusika wanajua jinsi ya kum.engage.
Kwa jinsi nionavyo mimi, ukishajiunga na Bima maana yake umetoa ridhaa haki kutumika kutibia wengine wenye uhitaji kwa wakati huu na wewe ukiwa na uhitaji utatumia za wengine. Ndio basic principal ya Bima ilivyo. Sasa hapo kusema kuwa haki ya mtu imetumiwa bila Ridhaa yake inatoka wapi? Kujiunga...
Acha uzushi ... autocorrect ndio inatoa h kwenye neno hela na kuweka ela? Au kuweka H kwenye neno aibu kuwa haibu? Msitafute visingizio visivyo na maana.
Autocorrection inaweka maneno unayoyatumia mara kwa mara au ya lugha husika. Kwa hiyo ubovu unaanza kwa mtumiaji mwenyewe.
Kuna kodi za Aina nyingi, nafikiri ilitolengwa hapo ni kodi kwenye kipato cha mtu. Kwa mfano mfanyakazi hukatwa PAYE kwenye mshahara wake kabla hata hajaanza kuutumia na ataendelea kulipa tozo na kodi nyingine atakapokuwa anautumia.. kama VAT, tozo za miamala, n.k.
Sasa kwenye kodi ya kipato...
CCM ndio wameshindwa kushughulikia tatizo hili walilolitengeneza wenyewe.
CDM walishalimaliza hili na katibu alishatoa taarifa kwa bunge kuhusu uamuzi wa CDM na mahakama.
Kwa mtazamo wangu Spika, Tume na CCM ndio wameshindwa kulimaliza wameamua kufunga macho muda upite.
Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko.
Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi.
Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
Kuna ujanja unafanyika... huwezi kuwa na kampuni mbili moja unaita The Tanganyika... na nyingine Tanganyika ... na ziwe za mtu mmoja. Kuna ujanja mefanyika kwenye kuweka taarifa. Sujui ndio upigaji unaanzia hapo?
Ukifuata maelekezo utaelewa... maelezo ya hicho kifurushi ulichonunua yanasemaje?
Huwa unapewa dk za kutumia muda wote na dk za ziada kana bonus za kutumia muda huo saa sita usiku mpaka asubuhi...
Sasa wewe unaonekana umeshamaliza dk zako za kawaida umebakisha hizo za usiku. Hakuna wizi hapo...
Kama Kinana anaona kusema tuu watakuwa waadilifu na waaminifu inatosha, basi Wawahachie wapinzani wawachangue hao wasimamizi waadilifu na waaminifu... CCM wao wasubiri tuu kwamba wapinzani watachangua watu waadilifu na waaminifu.
Sijui kama watakuwa tayari kwa hili. Kama hawatakibali basi ajue...
Nadhani itakuwa bora hawa makamu wa wenyeviti wakafanya mdahalo live... tueleweshwe ni yapi yalijadiliwa kwenye hayo mazungumzo ya maridhiano na yapi yalikubaliwa na yapi yalikataliwa.
Kinana vs Lissu njooni kwenye live mjadala mtuelimishe wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.