Nakubali sana, hata vitabu tunasoma katika shule za sekondari mfano, “Things fall apart, River’s between cha Ngugi wa thiong’ nk”, vinatupa mwangaza vizazi vya sasa kua mizimu ya koo husika ndio ilikua kiungo kati ya MUNGU na wanadamu, itawalinda na waovu.
Na jamaa na jamii zilikua katika...
Kaka Umesema Vyema, Waliwanyanyasa Babu zetu kwa kila aina ya Ufedhuli na kwa mwamvuli wa Imani (Ukristo na Uislamu). Kama kweli Imani walizozitangaza zilikua na Utu na upendo, kwanini walifanya waliyoyatenda? Na bado kizazi cha sasa kinawashabikia na kiwatetea, Rastafari!
Uafrika wetu Wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.