Arfi ni Mzee mwenye hekima na mwanasiasa mkomavu kuliko wote CHADEMA. Anafanya vizuri kazi yake ya mbunge bila kuingiza siasa pamoja na kuwa ni makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani.
Mwaka 2010 alionyesha ukomavu wa kutambua mchango wa Pinda kwenye Mkoa wa Rukwa na kumpinga mgombea wa...
Majebere,
Mwambie naibu Katibu Mkuu wetu Mwigulu aache kujihusisha na hawa vijana masalia wa CHADEMA, atatuchafulia chama. Kama tayari siri hizi za kwao zimeanza kutoka tulinde za kwetu.
....ndiyohiyo
Rais Kikwete jana alionyesha nguvu zake kwa kueleza kwamba yeye ndiye mwenye nguvu kuhusu ardhi na kueleza kwamba ardhi ya Mloganzila ni ya Tanganyika Packers, hivyo wananchi wasisikilize wanasiasa wa upinzani na waondoke bila fidia ya ardhi.
Rais Kikwete aliyasema hayo wakati akizindua majengo...
Rufaa ya Hawa Ng'umbi dhidi ya Mnyika ni kesho kutwa Disemba 7, kwa namna ambavyo Mnyika aliingia na laptop zake na kundi kubwa la watu na kulazimisha tume imeongezee kura hewa zaidi ya 14,000 hatma ya ubunge wake iko mikononi mwa jopo la majaji watatu.
....ndiyohiyo
Mbunge wa CHADEMA John Mnyika amemuunga mkono Waziri wa CCM Dr Harrisson Mwakyembe katika kazi za Serikali ya Rais Kikwete ya kuondoa foleni Dar es salaam kwa ubunifu wa usafiri wa treni yenye viwango, msome hapa: JOHN MNYIKA: MAJARIBIO YA USAFIRI WA TRENI DAR ES SALAAM NI HATUA MUHIMU, TRL NA...
Jafo wa CCM ampiku tena Mnyika wa CHADEMA muswada fao la kujitoa
Jemadari wa CCM Selaman Jafo kwa mara nyingine tena amemzidi kete Mnyika wa CHADEMA kwa kuwasilisha muswada kuhusu fao la kujitoa kwa hati ya dharura. Awali Jafo katika mkutano uliopita wa bunge aliomba muongozo wa Spika kuhusu...
Mbunge wa Hai aliwahi kushtakiwa kwenye kamati ya kinga na madaraka ya bunge kwa kauli ya dharau kwa wabunge kuwa bunge ni mchezo wa kuigiza. Sasa kwanini kamati hiyo iachie habari hii kama hii: Mnyika: Bunge limetekwa na mafisadi bila kuchukua hatua kulinda heshima ya bunge?
...ndiyohiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.