Search results

  1. H

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Wewe ndio mweupe na lazima tung'oe Mnyika. Amemuita Rais dhaifu lazima asirudi tena Bungeni kuendelea kutukana viongozi .....ndiyohiyo
  2. H

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    safari hii lazima tumeweke mwenye mbwa ......ndiyohiyo
  3. H

    Hujuma za Serikali kwa Mnyika, kumaliza tatizo la maji Ubungo, hazitaiokoa CCM

    We unadhani Mheshimiwa Prof Kikwete ana muda wa kujibu barua ya hoja dhaifu kama hii badala kufanya mambo mengine ya msingi? ....ndiyohiyo
  4. H

    Hoja binafsi kuhusu Kituo cha Mabasi Ubungo

    Chezea Masuburi wewe!....ndiyohiyo
  5. H

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Na leo tunamwaga takwimu za maendeleo jimboni kwake, lazima 2015 tumng'oe ...ndiyohiyo
  6. H

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Rais Kikwete aliahidi ajira milioni moja kila mwaka, lazima tuwaondoe ...ndiyohiyo
  7. H

    Arfi: Makamu mwenyekiti na mwanasiasa mkomavu kuliko wote CHADEMA

    Arfi ni Mzee mwenye hekima na mwanasiasa mkomavu kuliko wote CHADEMA. Anafanya vizuri kazi yake ya mbunge bila kuingiza siasa pamoja na kuwa ni makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Mwaka 2010 alionyesha ukomavu wa kutambua mchango wa Pinda kwenye Mkoa wa Rukwa na kumpinga mgombea wa...
  8. H

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Majebere, Mwambie naibu Katibu Mkuu wetu Mwigulu aache kujihusisha na hawa vijana masalia wa CHADEMA, atatuchafulia chama. Kama tayari siri hizi za kwao zimeanza kutoka tulinde za kwetu. ....ndiyohiyo
  9. H

    Kikwete athibitisha nguvu zake kuhusu MUHAS Mloganzila na brain drain ya madaktari

    Rais Kikwete jana alionyesha nguvu zake kwa kueleza kwamba yeye ndiye mwenye nguvu kuhusu ardhi na kueleza kwamba ardhi ya Mloganzila ni ya Tanganyika Packers, hivyo wananchi wasisikilize wanasiasa wa upinzani na waondoke bila fidia ya ardhi. Rais Kikwete aliyasema hayo wakati akizindua majengo...
  10. H

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Nyie endeleeni kusali, sisi tunaendelea na mikakati. Lazima tumwondoe ...ndiyohiyo
  11. H

    Rufaa kumpinga Mnyika kusikilizwa Disemba 7

    Rufaa ya Hawa Ng'umbi dhidi ya Mnyika ni kesho kutwa Disemba 7, kwa namna ambavyo Mnyika aliingia na laptop zake na kundi kubwa la watu na kulazimisha tume imeongezee kura hewa zaidi ya 14,000 hatma ya ubunge wake iko mikononi mwa jopo la majaji watatu. ....ndiyohiyo
  12. H

    Mnyika amuunga mkono Mwakyembe usafiri wa Treni

    Mbunge wa CHADEMA John Mnyika amemuunga mkono Waziri wa CCM Dr Harrisson Mwakyembe katika kazi za Serikali ya Rais Kikwete ya kuondoa foleni Dar es salaam kwa ubunifu wa usafiri wa treni yenye viwango, msome hapa: JOHN MNYIKA: MAJARIBIO YA USAFIRI WA TRENI DAR ES SALAAM NI HATUA MUHIMU, TRL NA...
  13. H

    Jafo wa CCM ampiku tena Mnyika wa CHADEMA muswada fao la kujitoa

    Jafo wa CCM ampiku tena Mnyika wa CHADEMA muswada fao la kujitoa Jemadari wa CCM Selaman Jafo kwa mara nyingine tena amemzidi kete Mnyika wa CHADEMA kwa kuwasilisha muswada kuhusu fao la kujitoa kwa hati ya dharura. Awali Jafo katika mkutano uliopita wa bunge aliomba muongozo wa Spika kuhusu...
  14. H

    Bajeti ya Ofisi ya Rais; Kikwete na Ikulu wawajibike

    Kumbe huyu alianza toka mwaka jana kuisema vibaya ofisi ya rais
  15. H

    Kama Mbowe alivyobanwa na bunge huyu naye asiachwe

    Mbunge wa Hai aliwahi kushtakiwa kwenye kamati ya kinga na madaraka ya bunge kwa kauli ya dharau kwa wabunge kuwa bunge ni mchezo wa kuigiza. Sasa kwanini kamati hiyo iachie habari hii kama hii: Mnyika: Bunge limetekwa na mafisadi bila kuchukua hatua kulinda heshima ya bunge? ...ndiyohiyo
  16. H

    Mnyika kukamatwa kama Mwigamba na Kibanda kwa kuchochea polisi kugoma

    Ukisikiliza video iliyopo kwenye mtandao: John Mnyika | Facebook kuna sauti ya Mnyika akichochea askari polisi kugoma kosa ambalo lilimfanya mwandishi wa makala Mwigamba na mhariri Kibanda kukamatwa na kushtakiwa kwa uhaini na uchochezi. Kama polisi mnaacha kumkata kwa kuwa ni mbunge mumkamate...
  17. H

    JJ Mnyika: "Toa Kitabu Kisomwe" - Mimi nimeanza, wewe je?

    Katika hili JOHN MNYIKA: "Toa Kitabu Kisomwe"-mimi nimeanza, wewe je? anastahili kuungwa mkono pamoja na tofauti zetu za kisiasa. .....ndiyohiyo
  18. H

    Mei Mosi 2012: JK akasirishwa na utafunaji wa pesa za umma, wahusika kukiona...

    Rais Jakaya Kikwete leo katika mei mosi amejibu madai yote yaliyotolewa na CHADEMA kwamba CCM na serikali yake inashindwa kushughulikia matatizo katika uchumi ikiwemo mfumuko wa bei, ukosefu wa ajira kwa vijana, kupungua kwa uzalishaji na matumizi makubwa ya serikali ukilinganisha na mapato...
  19. H

    Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

    Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie...
  20. H

    Chadema: JK vunja Baraza la Mawaziri

    Ndio maana JK amewapuuza tena, amegundua yale makelele ya bungeni ni shinikizo la CHADEMA. Nchi haiongozwi kwa mashinikizo. habarindiyohiyo
Back
Top Bottom