Recent content by Gulio Tanzania

  1. Gulio Tanzania

    Kwa vyakula vya aina hii, WALEVI ni wa kuhurumiwa!!

    Biblia haijawahi kukata pombe labda unazungumzia ulevi kunywa pombe kupitiliza
  2. Gulio Tanzania

    Kwa vyakula vya aina hii, WALEVI ni wa kuhurumiwa!!

    Hakuna ulazima wa kunywa chai haina faida mwilini wanywaji huwa tunaamka na kunywa maji ya kutosha huku tukijiandaa na supu ya kuku
  3. Gulio Tanzania

    Kwa nini wadau wanajamii forum mnabeza mtandao wa TikTok.

    Mtandao wa madem na mashoga na watoto wa 2000
  4. Gulio Tanzania

    Kwa vyakula vya aina hii, WALEVI ni wa kuhurumiwa!!

    Kuna pombe inayopunguza hamu ya kula? Msije mkawa mnakunywa mataputapu na visungura
  5. Gulio Tanzania

    Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

    Hela yetu kila siku inashuka thamani miaka kumi ijayo bila kufanya jitihada hii pesa inaenda kupotea
  6. Gulio Tanzania

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    ukinunua simu kutoka marekani ni maisha hata mjukuu wako atakuja kutumia ni hasara kubwa kununua bidhaa za kichina watu hawaelewi Mzungu anakutengezea kiatu kiatu kinauzwa laki mbili utakichoka wewe tu chenyewe hakichoki mngao ni ule ule kila ukifua wewe unaenda kununua kiatu Cha mchina elfu 40...
  7. Gulio Tanzania

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    Kulipa Kodi ni jambo jema ila tatizo la sheria zetu za ukusanyi Kodi za wizi wizi
  8. Gulio Tanzania

    Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    Mzigo wa samaki ili upate faida itakubidi usafirishe gari zima
  9. Gulio Tanzania

    Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    Huwezi tengeneza faida kwa huo mtaji labda bangi
  10. Gulio Tanzania

    Vodacom, compensation hii ya bando ni kwa kutuona je?

    Kuna watu bado wanatumia mtandao wa voda
  11. Gulio Tanzania

    Lissu aombe radhi, asijitoe akili

    Shida ipo wapi
  12. Gulio Tanzania

    Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

    Hata wewe pia inaoneka ni masikini matajiri huwa hawana muda wakuzungumzia maisha ya watu masikini matajiri ni watu wa mipango na kula starehe sijawahi kuona tajiri anajadili maisha ya mtu anayepitia msoto
  13. Gulio Tanzania

    Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Elimu haijawahi kuwa laana dogo
  14. Gulio Tanzania

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Gb 10 ni sawa Tsh 20000 kwa watumiaji wa internet wa Tanzania wanakadiriwa kufikia watu million 25 piga hesabu hapo 25,000,000 × 20000=
  15. Gulio Tanzania

    TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

    Nafikiri serikali wangeruhusu changamoto tuone kumekuwa na shida mitandao yetu ya simu bando zake kulika kwa Kasi
Back
Top Bottom