Hahaahaaa, hawa jamaa inabidi uwe msukule kuwafaham,kwamaana kichwa chako kisiwe na uwezo wa kutuza kumbukumbu hata kwa dakika kumi , wanaimani na yule aliewaita malofa, wanaimani na mtu dhaifu! ! ! ! ! ? .
Ushauri wangu kwa Nyumbu wakubwa kabla hawajasema jambo wakae meza moja wakubaliane la kusema .sababu wakati wabunge manyumbu wanawatupia mzigo CCM kwamba wao ndio walikua wakitoa sauti ndiooooo, antokea mamvi anasema linalo amuliwa ktk kikao hayo ni maamuzi ya wote, haijalishi ulipinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.