Kuna miradi mingi imesimama tena mirafi hiyo inapita wananchi wenye vyanzo vya maji na kupeleka katika marneo mengine ya mbali tena ya mjini na kurukwa wale waliotunza vyanzo miaka na miaka hii ni dhambi kubwa sana
Kuna shida ya ubovu wa barabara ya kutoka Mombo kwenda Lushoto ina mashimo mashimo na pili hakuna ufuatiliaji wa nauli za bei mfano bei ya kilometa moja ya lami ni shilingi 30-40 lakini wao wanachaji 200 kwa kilometa moja ambao mfano mombo bangala ni km5 bei 1000 Mombo Soni ni km 10-15...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.