Recent content by Fakyuol

  1. Fakyuol

    Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Mm id yangu...haimuhusu yeyote humu jf!!! It's just....kuna watu waliwahi kunifanyia visa!! Maisha yangu yakayumba sana......nilipitia nyakati ngumu sana Sintokaa nikasahau!! Ilaa baadaye nilihama nikaenda mkoa x Nkaanza UPYA!!!! kwahy id yangu...n zawad kwao!!! And they have to accept it!!
  2. Fakyuol

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Naachaje kutembea bro Mtaa mzima wanasema wanapenda mwondoko wangu!!! Yann niwatese?
  3. Fakyuol

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    MCHAFU NI MCHAFU TU!!!! Wapo wadau wengi tu ni mabachela na ..ndani wanako kaa pako VIZURI sana!!!! Kujitia ubize na UVIVU usiokuwa na maana!! Ndo maana unakuta wengi wao minyanya inaozea ndani!! Vikombe viko uvunguni!!! Chumba ni kama ...dampo limehamia ndani! Usafi na kujitambua...ni...
  4. Fakyuol

    Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

    Uzi umekaa kinafiki sana!!!! Anyways Kama unawachukia wanawake..jaribu...kuwapenda masela!!!
  5. Fakyuol

    Nifanyeje? Huyu msichana kanifanya nishindwe kabisa kushiriki tendo la ndoa

    Kilicho mtoa mchezoni sio picha ya mshono!!!! Rudia tena kuisoma Post!! Hata malaya ..huwa wanamipaka!
  6. Fakyuol

    Ten Hag kazini kwake kuna kazi

    Klabu ya Manchester United inafikiria kumpa kazi katika nafasi ya kocha mkuu, mkufunzi wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgates. Mmiliki mwenza wa klabu hio bwana Jim Ratcliffe, anaamini kocha huyo ndie mbadala sahihi wa mwalimu wa sasa bwana Erik Ten Hag itakapo fika mwishoni mwa msimu...
  7. Fakyuol

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Polis wa Tanzania ni kama mbw*!!! Hawajawah kuwa na reasoning Wao wakisikia " SHIKA/KAMATA HUYO " Baasi ,,akili zao..zote huwa zinahamia kweny kukamata!!
  8. Fakyuol

    Usichokijua kuhusu unayoyapitia kwasasa

    Baiolojia inasema.... wakati wa tendo la ndoa mwanaume hufanikiwa kumwaga takribani million 200 mpaka 300 ya sperms ndani ya UKE wa mwanamke! Kisha baada ya hapo Sperms hizo huanza kuogelea kupitia njia iliyo special kuelekea lilipo yai la mwanamke! Baiolojia inaongezea inasema kwamba Kati...
  9. Fakyuol

    Kama unataka kulinda uchumi na afya yako acha mambo yafuatayo;

    Kila mtu ananyota yake kwenye maisha Sio lazima tupitie formula zilezile watu wote!!! Kidogo point ulio-ongea hapo Labda ni kuacha ngono zembe!!! Kwas'abab hakuna mafanikio bila afya N:B hayanaga formula
  10. Fakyuol

    Unaukumbuka ugomvi wa Sunny Deol na Shah Rukh Khan?

    Yash Chopra (marehemu) alikuwa ni moja ya wafanya filamu wakubwa India. Director huyu mzito alifanya filamu nyingi nzuri kupitia kampuni yake, Yash Raj Films, ambayo imekuwa ikitoa filamu kubwa na maarufu nyingi. Moja kati ya hizo filamu ni DARR (1993), ambayo ilikuwa na Sunny Deol, Sha Rukh...
  11. Fakyuol

    It's okay to be sad you don't have to be strong all the time

    Sometimes, all you have to do is to believe that one day, all the sadness in your heart will disappear. Just know that it's okay not to be a fighter sometimes. You don't have to be strong all the time. When nothing seems to give you reasons to be positive in life, you just have to go with the...
  12. Fakyuol

    Nimebaini mke wangu ana laini mpya

    Mchunga ng'ombe ana UMRI gani?????
  13. Fakyuol

    Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    SHIDA NI IPI HASWA?? KWENYE NDOA YAKO ??? tuanzie HAPO KWANZA
Back
Top Bottom