Recent content by Extroverted Introvert

  1. E

    Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Kama wewe unavyoitunza hiyo siri, na sisi tunaitunza hiyo hiyo siri. Kwahiyo unachokijua na sisi tunakijua ila wote tunaifanya siri.
  2. E

    Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

    Huyo sio mke wake, hoja yako hapo inakosa mashiko tayari.
  3. E

    Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

    Inakuhusu nini? Nguo yake inanihusu nini? Fanya yako, nifanye yangu na yeye afanye yake. Kam unaweza tembea nchi nzima kamata wanaovaa uchi maana wako wengi
  4. E

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    Atalipwa mshahara wa cheo chake ila salary slip yake itaongezeka posho ya taaluma/professional allowance ambayo jumla itaenda mpaka kwenye mshahara wa Engineers hao wengine
  5. E

    Sababu kuu mbili zinazoweza kumfanya mwanaume asimsaliti mkewe

    Kila ninavyoongeza kipato, ndivyo ninapozidi kuwa muaminifu kwa mwanamke wangu. Ila nikiwa sina pay tu, nakuwa namichepuko kinoma
  6. E

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Get busy young boy
  7. E

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Basi usimlaumu mwanaume maana naye alikuwa na hasira ya kufokewa. Nipe jina tofauti, hilo pimbi nimelizoea
  8. E

    Okra yupo wapi?

    Wachezaji ndani ni 11, benchi wanakuwa 9. Kwahiyo kuna wachezaji kama wengine lazima wake jukwaani huko bila kujali ni majeruhi au vipi
  9. E

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Swali hilo hilo, kipi bora kwa mama, watoto waadhibiwe kidogo kwa makonzi au waachwe wachomane visu wauane kama alivyosema?
  10. E

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Hiyo issue ya kutoa kitu cha kula kwa watoto wa wenzio iliwapeleka jirani mpaka polisi. Mama mtoto nasema jirani yake kawapa uchafu kumbe jirani huyo alisaidia tu. Mtoa post kasema hao watoto wanagombana mara kwa mara, ina maana walishakanywa, mama yao alishaambiwa ila bado watoto hawasikii...
  11. E

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Kwahiyo mama yao hakuona umuhimu wa msaada wa makonzi anayotoa jamaa? Huyo jamaa angeenda kusaidia pale, mama mtu angesema jamaa ndiye kamchoma mtoto kisu kisa kuna historia ya makonzi kupigwa
  12. E

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Yule mjumbe wa Arusha alitenda wema kuamulia ugomvi wa mke na mme, akakatwa mkono sasa hivi ni kilema
  13. E

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Uwanunulie Pipi? Alafu baadaye wakiumwa tumbo mama yao aseme umewalisha uchafu. Kumbe Baba atakiwi kutoa adhabu? Kumbe Baba akitoa adhabu amazidisha chuki baina ya watoto? Alafu nature nature nature, hiyo kauli ndipo wanapojificha. Kila binadamu ana wajibu wa kujifunza mambo, kijirekebisha.
  14. E

    Okra yupo wapi?

    Kwahiyo unataka wachezaji wote 30 waingie uwanjani?
  15. E

    Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

    Kumbe wajinga wana hela nyingi za kununua, safi.
Back
Top Bottom