Mleta mada shikamoo. Its 100% true . Mi nikiwaona nahsi kichefuchefu najaribu kulinganisha na zamani nimelichukia kutoka rohoni.limebaki na kina mwashambya
Nape in short alitakiwa kuwa anapambana na korosho kwa kariba yake. Kwanza hana guts za kumface Mange angemvua bukta hadharani. Pili amemtukana sana Mwamba Magu , Tatu hana kifua cha kumface Antipus kwani huyu kwa sasa ni global figure . na bado kamwita barozi polepole kiroboto ati hiyu nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.