Umenihuzunisha sana "hatujifunzi sayansi kupitia YouTube" na huko nyuma umesema kwenye post yako umenukuu baadhi ya studies ambazo zilichapishwa kwenye majarida, YouTube is just a means of sharing info, kwahyo ulitaka hao wakina janabi wapiti kwenye majumba kutoa baadhi ya shauri za kiafya...
Hiyo paragraph ya mwisho umechanganya bia na juice na soda na mafuta na maji, kwanini ifanyike research kama hyo wakati majibu yapo wazi?? Kama wasomi wote mmekimbilia siasa hata hzo hela zikiandaliwa kwaajili ya health related research si watazilamba zote?? Pia kuna channel ya YouTube nadhani...
Ni majambo madogo madogo tu ya hapa na pale, binaadam mkikaa pamoja yaweza kutokea hasa kwa hali ya Mume&Mke. Sina ushauri kwasababu maamuzi uliyoyachukua hayakua maoni yangu.
Lengo lako ni nini?? Waulize ambao walikua na maoni km yako wakayatimiza kisha waulize walioendelea kusoma,
Hakikisha umewauliza usiwaone tu ukajiongeza .
Viongozi wetu wajitafakari wawajibike kurudisha heshima zao, ukiona watu wanafurahia means wanamtazamo sawa na aliyetukana ni vile wao hawawez kuongea km yeye... Siungi mkono kbs watu kuwatukana viongozi wao kwan nao n binadamu wanaweza wakafny vbaya zaid na kuharibu badal ya kujenga.
Nadhani Haya mambo yanahitaji level flani ya mambo ya kiimani zaidi
MUNGU aliumba kwa ukamilifu, lakini Kuna mifumo/systems alitengeneza ili vyote vikafanyike kwa hiyo. Bila uhuru upendo ni batili, vyote vifanyikavyo sio kwa kupenda/kutokupenda bali kwa kufuata na kuheshimu mifumo aliyoiweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.