Recent content by DullyJr

  1. DullyJr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    kumcheka mgonjwa ni dhambi....🚶🚶
  2. DullyJr

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    be prepared nyumbuz..... tunaweka kambi hapa mpaka tukiwanyonyoa hapo uwani kwenu ndio tunasepa
  3. DullyJr

    Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

    Kwahiyo na wewe unalilia simu ya mkopo uletewe huko mbwinde ulipo?
  4. DullyJr

    Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

    Huyu hersi umkute ktk vimkutano vyao sasa utasema yupo siriasi[emoji23]
  5. DullyJr

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Hamna mechi hapa ni comedy za pwagu na pwaguzi
  6. DullyJr

    Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

    TFF,YANGA,MWIGULU,IHEFU wanajitekenya wanachekaaaa
  7. DullyJr

    Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

    Mtu uambiwe uachie goli 6 khaaaa we kuweza?jamaa katoka mita
  8. DullyJr

    Kikokotoo cha pension/mafao

    Jichanganye[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. DullyJr

    Wanyama 9 wanaoweza kuishi bila Chakula wala maji kwa muda mrefu

    Kumbe buibui ,chura na nge ni wanyama?basi mwalimu wangu alinipeleka chaka
  10. DullyJr

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Wengine wanasoma kule jamani duh,ila nimecheka
  11. DullyJr

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Inawezekana wanatumia fursa kusafirisha watu kimipango kwa nauli ambazo si halali
  12. DullyJr

    Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

    Mimi mwenyewe nilikuwa namsafirisha mdogo wangu kwenda shuleni nimeambiwa usafiri hamna[emoji23] Wakati jana saa 3 nimeambiwa limebeba abiria limeenda mlimba. Na wanaringa wanajua hata mabasi hayafiki mlimba kwa sasa,nimeamua kumrudisha dogo ale sikukuu kwanza.Hawa tazara pumbavu zao Nchi ngumu sana
  13. DullyJr

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Huku gsm anavyonunua mechi hamuoni?karma hiyo
  14. DullyJr

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Waanze kukata rufaa mechi ya ihefu waliyozawadiwa goli ambalo halijavuka mstari, Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Back
Top Bottom