Mimi hiyo shikamo kwangu huwaga ni kama silaha binadamu si wanapendaga heshima….mj hata nikikutana na mtu kajichokoea naona kanizidi umri namtandika shikamo yake akiwa kaka shikamo braza sister,mama au baba kwani shingapi [emoji3][emoji3]basi wanaonaga rahaa wenyewee na binafsi huwa...
Mpromote huyo mwenye juhudi…afu hao madogo usimwonyeshe bila yeye mambo hayaendi yani kwenye maongezi tu ya wakati wote muoneshe mlango wa kuondolewa uko wazi wakati wote[emoji3] atakuwa kwa nidhamu
Ndo mambo wanayotaka hayo mimi nimekaa winga kariakoo sio rahisi kama wanavyodhani hao machaliii…winga wa sasa unatakiwa uwe na mtaji Game pale kariakoo sio kitoto nowadays
Brother mimi nishakutana na upuuzi huo mwingi madogo hawajui nini wanataka ana vitu anapenda huyo ila mimi huwa nawapa muda tu…we kupambana hivyo sio kuwa umekosa namna ili utimize maono yako uliyonayo na ili maono yafikie lazima uende na watu huyoo si mtu sahihi kwenye biashara yako…mkatae we...
Naunga mkono hoja yako…majuzi nilikutana na kijana mmoja alikuwa kwenye huo mradi yani ni madudu matupu watu walitengeneza kamchongo cha kulamba tu hela kwenye mashirika wezeshi basi….wamepotezea vijana muda tu…kwa propaganda zao
Hakika usipopitia hivyo vipindi ni ngumu,kupata mguso wa ndani…ila kubwa Hakikisha mkeo,Amepata Neema ya kumjua Yesu kristo…Na ikitokea Yesu atamwita kwake…Atakuwa amempa uponyaji wa mwisho…Pole sana kaka
Nasi tunawaombea Neema Yake MUNGU iwashike katika hichi kipindi
Pole Ndugu!
Cha kwanza uko kwenye kipindi cha kukomazwa,ila nikutie tu moyo mtumaini MUNGU Pekee atakuvusha
Nyakati kama hizo zinakujaa na maumivu ya namna mbalimbali…ila kiri ushindi kila siku
Pili badili mtazamo ikitokea umebahatisha kijisenti
Anzisheni kabiashara hata kadogo
Mfano: hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.